Buzuruga Stendi
Member
- May 11, 2016
- 75
- 149
Nadhani jinsi Chadema inapojichimbia mizizi yakuwa chama kikubwa cha upinzani kusini mwa jangwa la Sahara inatakiwa kujiimarisha sehemu kadhaa ikiwa na pamoja kuwa na wanasheria wenye uelewa wa mambo ya kimataifa kwa upana.
Uwezo wa Lissu katika sheria za kimataifa umekuwa hafifu sana ukilinganisha na uwezo mkubwa alionao katika masuala ya sheria ndogondogo za ndani.
Moja ya uwezo wa kiasi aliowahi kuuonesha Lissu aliwahi kuwadanganya Mbowe na Lowassa kwamba waende mahakama ya uchaguzi duniani kumshtaki Magufuli baada ya uchaguzi wa 2015,kumbe hata hiyo mahakama haipo kabisa,mzee wa watu akachoma nauli plus hela walizomchaji kugombea urais,ikawa hasara juu ya hasara.
Nyingine ni pale alipowaita waandishi wa habari huku akiwa amesweat kabisa na kwa uhakika wote akiwataka watanzania tujiandae kushitakiwa maana Magufuli anafanya vitu kwa kukurupuka.
Wakati huohuo Lissu ameonesha uwezo wa juu kwenye kesi za uchochezi ambazo anazimudu kwa kiwango cha juu.
CHADEMA inabidi imuache Lissu abakie kwenye mambo ya sheria nchini huku yale ya sheria za kimataifa watafute mtu mwenye uweledi zaidi.