Recent content by Sarleh Arch

  1. Sarleh Arch

    Machine ya juice ya miwa inauzwa

    Asalam aleykum, ndugu wadau pande zote bongo na nje ya inchi, nimatumani yangu kuwa ni wazima pia poleni na majukumu, ebwana kwa yeyote anaehitaji machine ya miwa mimi ninayo naiuza, machine conditions zake ni perfect but ina two years since inununuliwe haikuwahi kutumika, in short nimekaa nayo...
  2. Sarleh Arch

    Pishi la Biriani

    Samahani naomba bei ya bismati kwa kilo
  3. Sarleh Arch

    Movie Reviews

    King movies nipo around, nina movies za kutosha, mpya na usiwahi kuziona, full HD, 720p mpk 1080p unaona hadi chunusi, wazee kuna vitu vinatoka mpk unatamani ziwe series *****
  4. Sarleh Arch

    Mapishi ya wali wa biriani

    Mchele wa basmati unauzwaje kwa kilo?
  5. Sarleh Arch

    Movie Reviews

    Design ya Jaws ofcoz but hiki kitu kipo more renovated, it's like its real, kwasababu Shark aliewekwa mule ni shark ambae ni kubwa kuliko sharks wa movie zote ulizoziona zinazohusu sharks, more interesting, shark Ka bite bullet proof mirror, na kuacha marks za meno. Despite movie ipo na rates...
  6. Sarleh Arch

    Movie Reviews

    Jason statham, iki kiumbe kinakuja na movie moja ambayo bado naisubiria kwa hamu, movie ina husu papa mkubwa kuwai kutokea ulimwenguni, The MeG. Jamaa this time ajaja na racing issues kaja na kitu cha Ocean
  7. Sarleh Arch

    Movie Reviews

    Alaa Poa
  8. Sarleh Arch

    Movie Reviews

    Wazee kwann tusianzishe kikundi cha WhatsApp, kwa ajili ya mambo kama aya, na tukawa pamoja sana, hii sort ya entertainment itufanye kuwa wakaribu.
  9. Sarleh Arch

    Movie Reviews

    Jamaa ni both, anatumia crew na anaeza ku betray crew yake.
  10. Sarleh Arch

    Movie Reviews

    Joker ni super villain, hana zile abilities za super heroes, but ana ile influential power ya ku convince crimes, na he had a very bad story when he was young. Huyu nae mzungumzia ni joker wa kweny batman.
  11. Sarleh Arch

    Movie Reviews

    Joker ni super villain, hana zile abilities za super heroes, but ana ile influential power ya ku convince crimes, na he had a very bad story when he was young. Huyu nae mzungumzia ni joker wa kweny batman.
  12. Sarleh Arch

    Machine Ya Kutengenezea Juice Ya Miwa

    Sorry Sana wakuu Mi ni mkazi wa Dar es salaam Temeke Tandika
  13. Sarleh Arch

    Machine Ya Kutengenezea Juice Ya Miwa

    Hello Watanzania Wenzangu. Maisha yamekua magumu sana ktk kipindi hiki, kwa bahati nzuri nyumbani nina kitega uchumi, mashine ya Kutengenezea Juice Ya Miwa, sipo hapa kwa lengo la kuiuza Hapana, nipo hapa kwaajili ya kutafuta mtu wa kufanya nae biashara hii, binafsi nimeshindwa kupata eneo la...
Back
Top Bottom