Recent content by SaraJr088

  1. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Tunatoa Huduma Za Graphics Designing

    Tunatoa Huduma Za Graphics Designing Kama Uandaaji wa Logo, Business Card, Brochures, Flyers, Banners, Music covers, Book covers, ID cards, Product labels... Bei safiiii Contacts: Call: +255652952O18 Whatsapp: +255652952O18 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Nafasi za volunteer ( Kazi)

    .
  3. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania WAZO LA BIASHARA

    Dada anataka kufanya Biashara,naweza kumchukulia 1m kwenye kicoba. Lakini Marejesho ni baada ya miezi 3. Je afanye biashara gani ambayo at least ataweza kulipa marejesho. Wale wa mizaha bora uishie kusoma tu .... Naomba mawazo Mazuri.
  4. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania BBA(Mwenge university ) vs taxation(IFM)

    Alafu Leah Mbona mda Wa Kuconfrrm ushaisha we mpaka Leo unajiuliza wapi uende wkt watu washaanza kusoma na TCU waliweka deadline Mwisho tarehe 1
  5. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania BBA(Mwenge university ) vs taxation(IFM)

    Ushauli wangu kasome TAX sababu Kwa Tanzania no Vyuo viwili tu ambavyo vinatoa hii course, alafu hiyo BBA mpaka Hivi vyuo vya uchocholoni vinatoa naamini itakusumbua kwenye ushindani Wa Ajira. Kuhusu kujiajiri asikudanganye MTU ata Taxation unaweza kujiajiri I believe tho. IFM is the best
  6. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa IFM tupeane updates hapa

    Njoo Haraka Leah Masomo yameanza... Naomba unielezee kuhusu Ilo Darasa la Jioni pls in deeply
  7. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa IFM tupeane updates hapa

    Nimeajiriwa Taasisi ya Mtu Binafsi, nimefanya Application ya Bacherol of Insurance and Risk Management pale IFM Kwa Mwaka Wa Masomo 2017/2018 I means first year. Nahitaji kujua kama Chuo kina Masomo ya Jioni ( Evening Class ) Kwa Level ya Degree .!??!
  8. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Wadau wa IFM second round tukutane hapa

    Jamani na swali Hivi IFM Kwa Level ya Degree Wana darasa la Jioni.!??? I mean kuanzia saa Kumi na Moja
  9. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa IFM tupeane updates hapa

    Acha UCHAWI... Kijana Mdogo Unakuwa na Roho ya KICHAWI
  10. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa IFM tupeane updates hapa

    Acha UCHAWI... Kijana Mdogo Unakuwa na Roho ya KICHAWI
  11. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa IFM tupeane updates hapa

    Ndugu zangu wale waliochaguliwa IFM bachelor of taxation and management tukutane hapa tupeane updates and other information kuhusu chuo, kozi na mambo mengine ya maendeleo... Asanteni!!
  12. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anaejua mashati ya dizaini hii naweza kupata wapi, please nayahitaji

    Mama shadee nimecontact nae Amesema Hana
  13. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anaejua mashati ya dizaini hii naweza kupata wapi, please nayahitaji

    Naombeni msaada, Anaeweza kujua mashati ya dizaini kama hiyo nitapata wapi kwa hapa Dar naomba anisaidie nayahitaji.
  14. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania UDOM siwaelewi

    M kuna vitu sivielewi kabisa... Selection ya IFM ilitoka ikaniandikia niconferm nipo kwenye multiple.. Lakin vyuo vingine vilipotoa Matokeo sikuwepo popote pale nikaamua Kuconferm tu IFM kwenye Online application mana ndo nilipofanyia. Leo naingia kwenye website yao wametoa watu waliokuwa...
  15. SaraJr088

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Nimechaguliwa IFM Kwny Multiple lakin nikasubili vyuo vingine nione kama Nimechaguliwa kweli Mara Mbili.. Lakin vyuo vyote nilivyoomba vimetoa matokeo sijajiona zaidi ya IFM. Inakuaje Hapo
Back
Top Bottom