Mpe idea ya kuuzaDada anataka kufanya Biashara,naweza kumchukulia 1m kwenye kicoba. Lakini Marejesho ni baada ya miezi 3. Je afanye biashara gani ambayo at least ataweza kulipa marejesho. Wale wa mizaha bora uishie kusoma tu .... Naomba mawazo Mazuri.
1. Marejesho baada ya miezi mitatu ina maana hii miezi mitatu ya mwanzo toka kuchukua huo mkopo ni "grace period"?Dada anataka kufanya Biashara,naweza kumchukulia 1m kwenye kicoba. Lakini Marejesho ni baada ya miezi 3. Je afanye biashara gani ambayo at least ataweza kulipa marejesho. Wale wa mizaha bora uishie kusoma tu .... Naomba mawazo Mazuri.
Wazo zuri1. Marejesho baada ya miezi mitatu ina maana hii miezi mitatu ya mwanzo toka kuchukua huo mkopo ni "grace period"?
2. Nakushauri awekeze ktk biashara yenye mzunguko mkubwa japo faida ya kila bidhaa/huduma sio kubwa lkn faida ndogondogo ukikusanya mwisho wa siku unapata faida kubwa
3. Mfano wa biashara zenye mzunguko mkubwa ni biashara ya vyakula (foodshop) , biashara ya matunda na vinywaji fresh (fresh juice & fruits) kama mgahawa hv, biashara ya pesa (Mpesa, Tigopesa) kwa maeneo yenye watu wengi km vile stend nk