BBA(Mwenge university ) vs taxation(IFM)

Ukifika mwenge ulizia kwa baba Joshua ukipaona we kula wakikudai pesa wajibu umelipiwa
 
usichukue kozi ambayo iko very general, itakupa shida kwenye soko la ajira. baada ya maelezo hayo jiongeze
 
Wakuu kati ya BBA(Bachelor in business administration)MWENGE UNIVERSITY na Bachelor of science in taxation IFM ipi ni sawa, bora na marketable kwa usawa huu

Hapo ni sawa na kuuliza kati ya Mwanamke mzuri na mwenye makalio makubwa yaliyo ndembendembe na Mwanamke mzuri ila hana makalio makubwa nani mbele ya macho ya Wanaume wengi unadhani atakuwa na market kubwa itakayompelekea Kubaiolojiwa?
 
Mwaka 2011 nilichaguliwa course 4 kila moja chuo tofauti mwisho wa siku nikachagua moja na sijajuta.

Kama unaona mbali, nenda IFM kasome taxation.

Ajira ni matokeo ya juhudi zako tu.

Walio mtaani si kwamba wote walisoma Taxation, usidanganyike

Yangu ni hayo rafiki.
 
Ndo

Ndo tunakimbizana nalo asahivi mkuu
Hahaha kaza msuli haponshule kama primary !! Hakuna cha makongamano wala muvi ni kitabu kama vita ... Nimelimic tupe tu longuo maana kuna mitope huko ...viva Mwuce a.k.a mwecau
 
IFM BTX, Been there done that na nipo TRA kwa sasa. Komaa upate 3.5 and above, kila mwaka auditing firms big 4 ( KPMG, PWC, EY, na DT) Wanakuja kuwachukua wenye hizo GPA kwenda kuwasaili kwa ajiri ya kazi. If you're smart enough utamaliza chuo na kazi mkononi.
 
Ushauli wangu kasome TAX sababu Kwa Tanzania no Vyuo viwili tu ambavyo vinatoa hii course, alafu hiyo BBA mpaka Hivi vyuo vya uchocholoni vinatoa naamini itakusumbua kwenye ushindani Wa Ajira. Kuhusu kujiajiri asikudanganye MTU ata Taxation unaweza kujiajiri I believe tho. IFM is the best
 
Alafu Leah Mbona mda Wa Kuconfrrm ushaisha we mpaka Leo unajiuliza wapi uende wkt watu washaanza kusoma na TCU waliweka deadline Mwisho tarehe 1
 
Ah we usiseme vyuo vya uchochoron wakat TCU ndio wamevisajili na watu competent and brain zao smart wqmepelekwa ktk vyuo ivyo na same graduate na same ajiriwa ktk big firms nchin .....
 
Alafu Leah Mbona mda Wa Kuconfrrm ushaisha we mpaka Leo unajiuliza wapi uende wkt watu washaanza kusoma na TCU waliweka deadline Mwisho tarehe 1
Mi nlishaga confirm kitambo IFM since october sema ndo ivo tu option nyingne ilikuja ya kuregister chuo chochote ulipochaguliwa thats y nikauliza but frm the bottom of ma heart i love taxation n nmesoma diploma yake ITA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom