Recent content by sapato

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Wakisema huko uwatoe nje huku Mimi nita diili nao sasa wanasemea Nairobi inakuwaje huko nako
  2. S

    JamiiForums Tanzania Offer ya safari Dom-Dar, kesho tarehe 5/1/2018

    Sawa mkuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la anga la Uganda lavamia kambi za waasi wa ADF ktk jamhuri ya Congo DRC.

    Kagame au museveni hawawezi ruhusu kushambuliwa kwa vikosi vya ADF wao ndio wanao vifadhili
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenisaliti na mzazi mwenzake! Nina wasiwasi ataendelea kunisaliti naye

    Achana naye mapema mbele yako kuna shida kubwa mno mimi Nina mtoto wa hivyo ni mkubwa na chuo kahitimu ila nikikutana na mama yake huwa siulizi ni hela ya gest tu hao hawataachana labda mmoja afe litakusumbua milele yako piga chini mapema ni shiiidaa kuliko shida yenyewe watabanduana tu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Peleka namba ya mita ofisini wao watajua deni halisi la hiyo mita
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe NHC kuna madudu na madili ya kufa mtu! Mchechu atumbuliwe?

    Raisi kapewa habari za kufikirika hazina ukweli kwa tabia ya raisi wetu alivyo kama kungekuwa na madudu kweli angenchana hadharani palepale asingesubili kesho msechu hana madudu ila wafitini anao wengi
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hoja: Mjane kuishi na mume mpya katika nyumba yake ya urithi, je ni sahihi?

    Soma kamusi ya kiswahili sanifu
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hoja: Mjane kuishi na mume mpya katika nyumba yake ya urithi, je ni sahihi?

    Mwanaume akifiwa na mke huitwa mgane sio mjane
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hoja: Mjane kuishi na mume mpya katika nyumba yake ya urithi, je ni sahihi?

    Agizo la mungu baba ni kichwa cha nyumba mama ni kiwiliwili ndio maana akifa mke hatuhoji kichwa kipo bado
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Kiini ni mkutano wao wa beging uliwapa kiburi kuwa tupo sawa na wanaume wamekiuka agizo na madhumuni ya mungu kwa Mara nyingine tena wanastahili hayo yawapatayo Sasa wanabadii jinsia wawe waume sasa wanaoana wao kwa wao hii ni laana imeingia kwao Kuondoa hii wakumbuke wapi walipo jikwaa na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kimenuka; Malaysa wasema jeshi lao lipo tayari kuihami Jerusalem

    Tumekwenda mbali sana kijeshi tunapasua matofari kwa kichwa vibao kwa teke tualuka na sarakasi hapohapo tunajua kushuka kwenye helkopta kwa kamba tupo vizuri kuliko kolea k wao wanarusha makombora tu
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeingia kwenye bifu zito na mgoni wangu Boloyank, amekodi watu "wanipige mashine"

    Achana na huyo mkeo aishi na apendaye atakusumbua usipate maendeleo ila wahi kuoa jaza nafasi akikusudia kurudi ashindwe hata vitabu vitakatifu vinaruhusu kuvunjwa kwa ndoa za hivyo
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ni walevi hadi wanakera!

    Wa Dada wa zamani walikuwa wanajua kupika vizuri kama mama zao wadada wa sasa kupika hawajui wanakunywa pombe kuliko baba zao
  14. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Magu ata lala naye mbele ajiangalie
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Athari zipo sisi sio wabunifu kila kitu tunaiga kutoka nchi za magharibi hata hatuulizi kwa nini kipo wao kwa sababu ya ngozi zao nyeupe uwezo wa kutunza joto ni mdogo ndicho kinawapelekea kufanya hayo weusi hatuna sababu ya hayo ngozi zetu zinatunza sana joto mapaja makubwa chura ute wa asili...
Back
Top Bottom