Recent content by SAPAL KIHAVAH

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Zitto waungana urais 2015

    Ushabiki bila mapenzi ni unafiki!! Waambie na wenzio wenye tabia kama hii. KAMA UNAMAPENZI NA ZITO MPELEKE AKAIONGOZE FAMILIA YAKO KILA SIKU ZITO..., ZITO..., HAKUNA MAMBO YAKUJADILI AU UMEFUFUKA NI MZIMU HUENDI NA WAKT..... ACHA UPUVA.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    ........................ Kama wazee wa dar- ndio hawa hii nchi hatuna wazee. Wanashadadia mipasho na maneno ya kwny kanga kuwasafisha wezi. Pmbv!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    JIMBO LA MSALALA KW MAIGE: nipo huku kikazi muda huu CHADEMA Wame ongoza kijiji cha shila bela mwkt kitongoji, Isaka bandari ya nchi kavu bw Rajabu anaongoza mwkt kitongoji (CDM), kuna baadhi Ya sehemu kama isaka jana, msikiti wa mwembe chai barabara ya pili isaka wame ahirisha japokuwa mgombea...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

    Nilipata sikiliza kidogo sehemu ya hotuba ya rais wa uganda Y.MU 7 Katika sherehe ya kenya na nikagundua kuwa huyu jamaa ni future [II] dectator wa Uganda. Na huenda akatusumbua EA baadae kama ilivyo kuwa kw nduli Id Amin dada. Kwa kauli zake za kibabe na ubaguzi ulo pita kiwango jirani zetu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

    chuki ni titi la nguruwe halifai kwa mtindi...... Hata wakimpoteza historia itamwelezea "mola amlinde kamanda wetu wahaki na walaaniwe ccm na njama zao"
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania haiwezi kubadilika iwapo tutabaki kuwa kondoo

    Wanasema ati, jeshi ni lao, polisi ni wao, wakidai haki wapigwe tu!!!! Hivi na sisi wananchi ni mali yenu...??? AMKA MTANZANIA HII NCHI NI YETU SOTE!!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tutalinda kura kwa sababu hatuamini mfumo wa uhesabuji na utangazaji wake

    Tunatumia siraha gani kulinda? Wataiba tu! Wezi walikuwepo tangu mwanzo wa dunia.
Back
Top Bottom