Uchaguzi S/Mitaa: Mwakyembe akiona cha moto akiwanadi wagombea wa CCM

GOTILANGU

Senior Member
Aug 23, 2013
182
0
Mbunge wa Kyela Dr Mwakyembe ameonja joto ya jiwe na wakati mgumu baada ya kuzomewa kila alipoitisha mikutano ya kuwanadi wagombea wa CCM.

Pale Ngonga Leo aliulizwa tangu amekuwa mbunge alishawahi kuitisha mkutano wilaya ya Kyela au Ngonga lini? Huku kimenuka aliondoka akiwa na nia ya kufanya mkutano Ipinda alikutana na wakati mgumu pale vijana walipokuwa wamepandisha bendera za chadema na walipomuona walianza kuimba nyimbo za ukombozi ikabidi waziri huyu akimbilie Lusungo kuliko na ngome ya CCM.

Nikaenda Busisya kijijin kwa Dr Mwakyusa jaman pale ni ubabe tuuu we chama kingine utakiwi na mweshimiwa pale vijana wanakatazwa mpk kupaki Pkpk barabaran ukiweka bendera ya Chadema hata vilabuni hutakiwi ukiwa Chadema ila vijana wameanza kujipanga soon kitawaka.

Nikaenda Isabula na Mbaka huko ni jimboni kwa daktari wa Nyerere jaman kimewaka kabisaaa akirudi huyu MZEE sijui.
Uwaambii kitu watu wa busokelo kwa Prof Mwandosya.
 
Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,126
0
Matokeo yakitoka mnadai kura zenu zimeibiwa kumbe mmepiga kura kwa kuzomea, nyie wapuuzi mmezaliwa ili mtawaliwe na CCM then mnarudi mavumbini
 
ngajapo

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
724
500
Mbunge wa Kyela Dr Mwakyembe ameonja joto ya jiwe na wakati mgumu baada ya kuzomewa kila alipoitisha mikutano ya kuwanadi wagombea wa CCM.
Pale Ngonga Leo aliulizwa tangu amekuwa mbunge alishawahi kuitisha mkutano wilaya ya Kyela au Ngonga lini? Huku kimenuka aliondoka akiwa na nia ya kufanya mkutano Ipinda alikutana na wakati mgumu pale vijana walipokuwa wamepandisha bendera za chadema na walipomuona walianza kuimba nyimbo za ukombozi ikabidi waziri huyu akimbilie Lusungo kuliko na ngome ya CCM.
Nikaenda Busisya kijijin kwa Dr Mwakyusa jaman pale ni ubabe tuuu we chama kingine utakiwi na mweshimiwa pale vijana wanakatazwa mpk kupaki Pkpk barabaran ukiweka bendera ya Chadema hata vilabuni hutakiwi ukiwa Chadema ila vijana wameanza kujipanga soon kitawaka.
Nikaenda Isabula na Mbaka huko ni jimboni kwa daktari wa Nyerere jaman kimewaka kabisaaa akirudi huyu MZEE sijui.
Uwaambii kitu watu wa busokelo kwa Prof Mwandosya.
kapicha ni muhimu mkuu pia ningependa nijue taarifa za matema na makwale kunani huko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom