mimi kidogo ninashida na eneo hili, hivi muheshimiwa LEMA alivyotoa tuhuma hapa JF dhidi ya ZZK ilikuwa kwenye kikao? na hatua zipi amechukuliwa juu ya hilo? na hapa ndipo tunapotoa nafasi ya lugha za "ubaguzi", "vibaraka wa Mbowe" na mengi mengineyo, kuna wakati tunapaswa kuwa critical na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.