lugha ya taifa ni kiswaengili maana hata hicho kiswa hili kinachozungumzwa kinakuwa ni tafasili ya kiingeleza ,kwa mfano utamsikia mtangazaji wa redio furani au tv anasema"jambo hilli likifanyika hivi mwisho wa siku madhara yatatupata sote" badaala ya kusema "jambo hili likifanyika hivi HATIMAE...
Hii naomba kukaribiswa kundini,nilikuwa ninatafuta habari za ukulima bora wa mahindi kwenye google,ndipo nilipokutana na na ndugu bennet ambae maelezo yake kuhusu ukulima bora wa mahindi yamenisisimua sana.Hivyo basi badala ya kupitia google nimeona bora watu kama hawa niwafate huku huku...
nakumbuka wakati nipo mtoto huko madongo poromoka tulikua na mchezo unaofanana na huu.yaani mnachagua mlima mrefu halafu mnaseleleka kuanzia kileleni kwenda chini,lakini hapo tena ungoje mida bwada kwenye kaputula yako. munaijua midabwada?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.