Recent content by Sanyenge Willson

  1. S

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Nashukuru mkuu acha nitume Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Kama mtu ana vigezo hasa kwenye masomo lakin hana kitambukisho cha kura, taifa wala cha Zanzibar atapata mkopo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Mwalimu afumaniwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake darasani

    Aliyataka ngoja yamkute Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Comment tucheke!

    Napita Tu Nitarudi Badae
  5. S

    JamiiForums Tanzania Anameremetaaa

    Tukutane Badae Wadau
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Hiyo Nafasi Inamfaa Sana Na Ataendana Na Kasi Ya Mheshimiwa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Hongera Kwa Kushusha Pressure Ya Wabunge Waliokuwa Wanategemea Uwaziri Sasa Ni Kazi Tu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Coco Beach: Manji amwandikia barua Rais Magufuli

    Free Advise To Manji Stop Dealing With That Beach I Think You Know The Head Of Country How He Is So Comedown
  9. S

    JamiiForums Tanzania Agizo la mwanasheria wa NEMC lafanyiwa kazi kwa vitendo

    Kwa Nini Mpaka Nguvu Itumike Katika Kuamua Wakati Sheria Zipo? Naomba Watu Tuheshimu Utawala Wa Sheria Kwa Sababu Utawala Wa Nguvu Kamwe Haudum
  10. S

    JamiiForums Tanzania Unapata picha gani juu ya kauli hii ya Rais Magufuli juu ya mapambano dhidi ya Ufisadi?

    Mtoto Ni Yule Binadamu Ambaye Hajajitambua. Yawezekana Wakawa Hawajajitambua
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Dar es Salaam akamatwa na Jeshi la Polisi Mbeya akiwa na meno ya tembo kilo 8.5

    Itapendeza Kama Hatua Sitahiki Zitachukuliwa Dhidi Yao Na Si Kuishia Hapo Walipo Kwani Ni Siku Nyingi Wanakamatwa Lakini Hatuoni Hatima Yake
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Ili tuonyeshe ukomavu wa kisiasa inatupasa kukubaliana na matokeo na c kulaum
  13. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mahakama

    Naomba msaada juu ya mtuhumiwa anayetakiwa kuwekewea mdhamana mahakamani ukoje kesi ya jinai. Na lingine ni halali kutoa pesa kwa ajili ya kumdhamini mtuhumiwa anapokuwa kituo cha polisi?
Back
Top Bottom