Sii mawakili wa serikali tu, hata 'manguli' wao wa sheria, Kabudi, Mkunbo & Co, wameshindwa kung'amua hili na kuwang'ata sikio?!
Mahakama imeingizwa mtegoni sana kwenye hii kesi.
Mpaka hapa kesi ilipofikia TAL siyo mhaini.
Hata kama Mahakama ikisema imemkuta na hatia, na anahukumuwa kifo, basi ukweli tushaujua.
Mungu mbariki Tundu
Kwa kuangalia gestures tu za muungwana anayetoa maelezo hapo utagundua kuna jambo haliko sawa sawa.
Itoshe kusema, nchi ipo matopeni kwa mara nyingine tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.