Ndio maana wale wanaoa kwa kigezo cha tako mwish wa siku wanapat tabu mnoo kwa sabab mtu akishamuoa mke wake akawa nae ndan awe na tako asiwe na tako anamuona wakawaida tu
Sio police wote ni washenzi wapo ambao wana utu na roho nzur uku kwetu mtu umbambikie kesi ati umchukue kwa pingu mambo ya kuchoreshana hakuna raia wa ivyo nishashuhudia wana kibao wanakataa kutiwa pingu mwisho wa siku askar inabidi akubali tu kuondoka na raia bila kutiana pingu ujue kutiana...
No hatujazungumzia kuhuc kuumwa ama kutapika tunazungumzia kama ile hali ya kuforce chakula fulani na kama hujampatia mtu inakua ugomvi mkubwa na vilio juu so kama si kujiendekez ni nin? Kwan mtu akikosa icho kitu kwa mda uwo atakufa au?
Nyumba za mbele wap uko mkuu au unazungumzia nyumba za kweny movies? Hayo mambo yote yanatoka uku uko mbele seme tu hujabahatika tu kuona ila ingia youtube uwone mbele uko watu wanavyozipendezesh nyumba na ayo magypsum 😁
Ilo ni kweli ten siku izi ndo unakatika katika hovyo ila hauchukui time kubwa unarudi zaman ilikua unaweza kukaa ata 2 months umeme haujawahi kukatika ata kwa sekunde 5 tu na baadhi ya maeneo maji ni masaa 24.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.