Recent content by Sanja

  1. Sanja

    Bongofleva miaka hiyo

    Nikupe nini Man Dojo, Alikufa kwa ngoma Mwana FA, Wanok nok Jide ft Man dojo
  2. Sanja

    Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Ni wakati sahihi suala la dini kufundishwa shuleni na vyuoni, kunaweza kuwepo hoja nyingi nzuri ila mimi naziona kuu 2 1. Kuna ombwe kubwa la uelewa wa asili ya imani nyingi zilizopo Tanzania. Hapa tumejikuta waumini na viongozi wa madhehebu mengi wote hatuna hata ule uelewa wa msingi( basics)...
  3. Sanja

    Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Hivi hao wafanyakazi unaowasema hawanunui bidhaa zinazozalishwa na hao wasiokuwa wakulima? Unadhani kibarua huko mtaani huwa anapewa kazi na serikali au ndio wafanyakazi wanaorudisha mzunguko wa pesa mitaani hatimae kwa wafanyabiashara. Kuna bidhaa zilipanda miaka ya nyuma bila nyongeza ya...
  4. Sanja

    Kwanini kanisa linaadhimisha misa siku ya mwaka mpya?

    Mwenye kuelewa aelewe hii.
  5. Sanja

    Ulaji wa data za intaneti tiGo ni aina mpya ya wizi, ufisadi, na ujambazi

    Tigo wamekuwa ni tatizo kubwa,kuanzia dakika za maongezi mpaka messages zinatumika kwa kazi sana, ukiwapigia sasa ni porojo tu.Nimehamia Hallotel,nao nikiona siwaelewi nahamia airtel au ttcl
  6. Sanja

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    Wengi wanaotetea ni wanaharakati wanaofanya kazi na NGO,wanaenda na slogan ya anaewafadhili. Mimi nawaunga mkono kupinga viboko lakini wasiishie kupinga tu,watoe na mbadala wake hasa wakizingatia mila na desturi zetu hasa kutii nakufuata ushauri wa wazazi/walezi na walimu. Sent using Jamii...
  7. Sanja

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    Kuzuia viboko linaweza kuwa jambo jema iwapo serikali itaacha kulazimisha wasio na vigezo na utayari wa kusoma kuchaguliwa kujiunga na shule. Kuna kundi kubwa la wazazi na wanafunzi wasiotaka kuendelea na shule, tofauti na zamani ambapo ulikuwa ukipewa adhabu yakurudi nyumbani(suspension)...
  8. Sanja

    Matokeo Kidato cha Sita: Uongozi wa shule ya Jangwani kubadilishwa na Walimu wa muda mrefu kuondolewa

    Kinachofurahisha zaidi nikuwa hakujapatikana ufumbuzi wa hili na hakuna hata mpango unao onekana kutatua hili. Tunasubilia matokeo ya form 4 tuanze kushangaa tena. Hivi hii sera ya kila mwanafunzi anaeanza chekechea afike kidato cha 4 na afaulu,wakati hakuna chujio la maana hapo kati unadhani...
  9. Sanja

    Amri ya kukata miti ya upanga uzazi

    Watanzania wengi umaskini wetu sio wabahati mbaya. Hakika akitokea mpuuzi mmoja katika mgongo wa imani akasema ndizi bukoba ukizipanda zinaleta mikosi tutaitikia tu kama mazuzu.
Back
Top Bottom