Recent content by sanif

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasikia mwanaume ambaye makalio yapo flat au ana tege huwa wana dushe zilizoshiba?

    Ungejaribisha kisha ulete mrejesho
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

    Ukishaonja nyama ya binadamu hauchi,wewe ni mtu husio na aibu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

    Kama yule tuliyemuuzia chama chetu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumshukuru Rais Magufuli kwa kutuamsha

    Atakuombea
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    Mustapha Ryder
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba na Cleopa Msuya wamjibu Kingunge Ngombale-Mwiru

    Huyo wa mwisho kuzungumza naye ni kiongozi wa zamani!,huyo si bado anakukuruka kwa tamaa ya urais hadi anachanganyikiwa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima kesi ya kina Sheikh Farid

    Sheikh Farid Ahmed POLISI wameanza utaratibu mpya wa kupiga risasi juu kuwatawanya ndugu na jamaa waliofika kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki) visiwani Zanzibar, Sheikh Farid Ahmed na wengine 63. Hofu ilitawala jana katika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mtendaji TPDC, Dkt. Mataragio asimamishwa kazi

    Hata kama ameboronga aachwe tu kisa wamemtoa ulaya!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fine ya kuchelewesha road licence ipo vipi

    Kulitoa kwenye system labda kwenye kodi ya mapato kama ni gari ya biashara lakini motor vehicle haina msamaha
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nikimchambua Dr. Mwaka mimi kama Daktari bingwa mwenye taaluma hiyo

    Anadanganya watu kuwatibu ilhali hana tiba yoyote zaidi ya kuwadhulumu watu pesa zao,mimi sijawahi kwenda ila nawajua watu kadhaa waliokwenda na hakuna hata mmoja aliyefanikiwa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nikimchambua Dr. Mwaka mimi kama Daktari bingwa mwenye taaluma hiyo

    Kuna tofauti kutumia dawa sahihi lakini ikashindikana kupona na kutumia mavumbi ya miti,naamini hana dawa zozote zaidi ya utapeli tu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji yawakamata raia wawili wa kigeni wakifanya kazi Serikalini

    Kwa sheria ya umiliki wa ardhi kwa Tanzania mtu asiye mtanzania haruhusiwi kumiliki ardhi bali kwa masharti maalum kwa kupata kibali kutoka kituo cha uwekezaji akiwa ni mwekezaji kwahiyo acha kuropoka hovyo na kuhusu hao wahindi na waarabu wana uraia kama hao wababe wenu al shabab walivyokuwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji yawakamata raia wawili wa kigeni wakifanya kazi Serikalini

    Kuna mtu ameku pm
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nikimchambua Dr. Mwaka mimi kama Daktari bingwa mwenye taaluma hiyo

    Wasiopona ni zaidi waliopona kama wapo,mimi binafsi nawajua watu watatu ambao najua wameenda na hawajapona
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji yawakamata raia wawili wa kigeni wakifanya kazi Serikalini

    Hata banyamulenge walianzisha mapigano kule kongo kwa ujinga kama unaoshabikia
Back
Top Bottom