Recent content by Sang'udi

  1. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Wasukuma tumeweza!

    Jichanganye 😀
  2. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Au siyo. Kila la kheri, mkuu.
  3. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

    Sasa shida zote hizo za kuficha mali, wosia, kunyanyasa watoto post-break up, n.k. za nini wakati una simple option ya kutokuoa!!? Kwanini uanzishe vita ambayo unajua hauwezi kushinda? Haya mkuu, kupanga ni kuchagua. Kila la kheri kwako.
  4. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Bahati mbaya upendo huwa una-develop automatically kupitia vitu vidogovidogo mnavyofanya pamoja kwa muda mrefu. Suluhisho hapa ni kukataa ndoa tu. 😁
  5. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Tatizo ni ubinafsi- Wanaoweka mbele maslahi yao, hisia zao, n.k. bila kuwajali wenzi wao.
  6. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

    Usaliti ni usaliti tu haijalishi unajua au haujui. Ukioa jua kuna siku isiyokuwa na jina utagundua umesalitiwa na utakuwa na options mbili: Usamehe udhihirishe udhaifu wa kiwango cha juu ambacho umetumia maisha yako yote kuupinga Muachane ili muda, hisia, rasilimali, pengine watoto, n.k...
  7. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Tatizo ni wabinafsi kuingia kwenye ndoa/uhusiano.
  8. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

    Kama haujawa tayari kusamehe usaliti, usioe. They all cheat. Ni suala la muda tu.
  9. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

    Hakuna mwanamke asiyechepuka. Wako vizuri kwenye kuficha tu.
  10. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Hizi kampeni za kuhamasisha Wanaume kuacha kuoa Wachaga na Wamachame zinatokana na nini haswa?

    Na kabla ya ndoa huwa wamenyooka balaa, jichanganye sasa. 😁
  11. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni Rais kujiona kama Mungu, Infallible, Omnipotent , Alpha na Omega

    Hata Rasimu ya Warioba inabidi tuiboreshe zaidi. Matakwa ya wananchi yameongezeka.
  12. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Apple event Septemba 9, Imewekaa Viwango vipya katika vifaa vyake

    Ngoja Wachina wa Mchambawima waje.
  13. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Ambayo ameshawaambia mmechukua hatua gani?
  14. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Kwenye vyama vya upinzani kuna madalali ambao wanatoka CCM

    Kuna muda ukifika unakuwa na sababu zote za kusimamia ukweli.
Back
Top Bottom