Recent content by Sangari

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

    Mimi nikipata mwenye mwanya tu huwa naridhika siitaji kitu kingine
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Hizi episode zilikuwepo toka enzi ya Farao na wana Wa Israeli. Wakati yule mwanafunzi anapigwa ngumi na mateke kule Mbeya mawaziri wote walicharuka kuwa watawachukulia wale walimu hatua Kali. Wakati yule mama akichapwa viboko hadi akazimia na mimba ikatoka waziri Wa afya alisema atasimama...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

    Ndio maana Ndoa nyingi za kitanzania hazidumu manake watu wamebaki kuangalia Shep tu bila kufikria kichwani kuna nini. Wanaume tulio wengi tunapenda Shep tu hata kama ni jini.
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikutaka kuwasikiliza ushauri wenu naomba mnisamehe

    Ngoja akusemee kwa wakuu Wa nchi kuwa ulitaka kumtoa kafara kwa kuwa ni mlemavu Wa ngozi. Shauri yako
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naelekea kudhulumiwa mtoto, naomba mwongozo wenu

    Shown cartel nenda ukaoge maji ya chumvi baharini. Haya maneno ulinenewa hapa kutokana na ubaya wako na uchafu wako uliouleta hapa, hakika ni sawa na ulaaniwa na Mungu. Yani wewe subiri kiama hakuna jipya tena
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naelekea kudhulumiwa mtoto, naomba mwongozo wenu

    Akiwa mjamzito ulimwambia atoe mimba akakataa ili akinusuru kiumbe cha Mungu. Mda wote huo akiwa kwenye ujauzito ulimtelekeza na hakuna matumizi yoyote uliyotoa kwa kumjali. Leo unakuja na mada eti unadhulumiwa haki yako, tena damu yako. Ningekuwa mimi ndie mzazi wa huyo binti unakuja kwangu...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

    Hakuna hata mmoja anaekufaa katika hao
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani

    Mleta mada nenda ukasome biblia maandiko ya Mungu katika kitabu cha Yeremia Mlango wa 17utapata jibu la matatizo yako.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga nina matatizo kidogo ya kinyumbani

    Hapo umemaliza kila kitu. Na kama hachukulia siriazi huu ushauri wako basi atakuwa na lake jambo
  10. S

    JamiiForums Tanzania HIVI HUYU KIMWANA AMEDATA?AU NDIO Style za Siku hizijamani?

    Gaidi mapango ya Amboni Tanga
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni wadau ni muhimu sana..

    Njoo huku A.town nikupeleke sehemu inayoitwa Masai Camp, wapo wa kila taifa.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa TANGA ni noma

    Uji wa hiriki ndo nini mkuu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ukatili Manyara: Mwanafunzi achapwa na walimu mpaka kufariki dunia

    Akili yako iko kama ya huyo mwalimu aliemuua huyo mwanafunzi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nakosa furaha na nina hasira

    Shetani yupo hivo yawezekana kuna nguvu za giza zitokanazo na shetani zinakufatilia. Nakushauri usimame katika kumwamini Mungu hakika atafanya jambo juu ya maisha yako na hiyo hali itatoweka kabisa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ukatili Manyara: Mwanafunzi achapwa na walimu mpaka kufariki dunia

    Mtoto wangu akifanyiwa hivo nazikwa kaburi moja na huyo mwalimu
Back
Top Bottom