Yeah wote nimewasoma hadi huyo Sejong ndo aliyegundua lugha na maandishi ya Hangul
Kuna hadi mji umepewa jina Sejong City na wizara karibu zote zimehamishiwa huko.
Walikuwa na mpango wa kuufanya mji mkuu badala ya Seoul
Hivi wadau kuna mtu ambaye drama ya Yi San mwishoni haikumuumiza kiasi cha chozi kulenga?
Wiki iliyopita nimeimaliza inaisha kihuzuni sana hata maji nilishindwa kunywa!!
Japo wengi wanapinga,ila mimi naweza unga mkono kutokana na imani yngu kama hiyo.
Bado nasoma na nishajiwekea malengo kwamba bila kufikia hatua fulani kimaisha,kamwe sitamsogelea mwanamke hadi nifikie level ya kumtunza na kuhudumia familia pia.
Hakuna mwanamke wa sasa asiyependa pesa wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.