king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,039
Ni jukumu la mwanamke kumpigia magoti mwanaume katika sector zote anapo mpatia kitu. Na siyo vinginevyo
HapanaNgoja kwanza, hivi na mwanaume huwa anavishwa pete ya uchumba!???
Ha ha ha. Kabisa mkuu, hata kama wote wawili wakipiga (ma)goti poa tu!Yeyote aliyetayari kupiga goti atapiga. Msitake kufanya maisha magumu zaidi ya yalivyo.
We humvulii??hahaaaSijui nilifanyaje ila nachojua kamwe siwezi kampigia goti mwanamke anayenivulia chupi
Ndio maana simpigii goti na ole wake anipigie....We humvulii??hahaaa
Hamna kitu ya hivyoHapana
ndio sisiWanaume bwana.