Recent content by Sandali nanga

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama huna 'Commitment' na kazi uliyonayo, usikimbilie kujiajiri

    ASO HILI ANA LILE.!
  2. S

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    bila shaka naungana nawewe katika hili ya kwamba kuna branches za NMB ambazo zinafanya kazi zake very intelligence hadi wateja muna be happy ila jambo la msingi hizo branches no chache mno ni nadra kuzipata ila asilimia kubwa NMB inawapasa kulekebisha huduma zake ziwe imara zaidi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shida sio kuwa koromea, ila shida huduma zao ni mbovu ila wanao sababisha ni customer care na isitoshe nimeshawahi kufika branch ya Lindi ya NMB tunahoji Mbona hatuhudumiwi, huduma haziendi ipasavyo tunakazi zingine zakufanya unakuta manager anakujia juu na anaongea lugha chafu Hadi anakuambia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni vigezo vip vinatakavyo mfanya mteja kuweza kujitoa kwenye service charge? baada tu ya kuwekewa umeme, na mda gani? Anaweza kujitoa pia mchakato wke kwa ujumla upoje?
  5. S

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sio ifakara tu NMB kalibia matawi yake mengi huwa ni kero, Sifahamu hasa kwa nini? Na ninauzoefu wa hili katika branch za NMB kadhaa Hadi inafikia hatua mtu unachukua uamuzi wa kuondoka bila kupatiwa huduma
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ulitumia mbinu zipi ukafanikiwa kuacha zinaa?

    Father of all Snipers, Tatizo sio kufanya Mapenzi ,yeye shida yake nikuacha zinaa. Maana watu wengi wanachanganya kati ya mapenzi na zinaa. Ngoja tujuzane kidogo mapenzi ni yale ambayo hufanywa ndani ya ndoa lakini zinaa hufanywa nje ya ndoa hivyo jalibu kuelewa ni msaada upi mtu anauhitaji...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kuomba msaada?

    Kuna sababu kadha wa kadhaa ambazo huwafanya watu kutokuwa na ujasiri wa kuomba msaada kulingangana na mazingira Aghalabu kuogopa matapeli pia ulaghai hasa kwa upande wa akina dada maana ,nk
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kujibu swali "tell us about yourself" wakati wa usaili

    Haswaa ndio jibu sahihi kaikupasi kujibu in negative way for instance what is your weekness? Huwezi kusema labda mm ni mzembe,, labda nachelewa kazini mvivu, hadi hapo kazi haunaa yaani live hauna kabisa hivyo ni lazima ujibu in positive way
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    alsaidy, Aisee marupurupu hayo mpaka kupata lini? Maana mpaka kuja kupewa hayo marupurupu mtu umeshachakaaa na kuchoka kisha upewe marupurupu hakuna kitu kama hiko. Ila la msingi serikalini kipato ni kidogo la msingi usiwe na nyenzo moja tu kama serikalini ni bora pia ukawa na nyenzo nyingine...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    DAR! ingia youtube utaona sample mbalimbali 👐🙌🙌
Back
Top Bottom