wabaya watengwe
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 203
- 250
Mnaponiachaga hoi mnapofunga kamba peni za tsh. 200/=ilihali sisi tunawaamini na kuwaachia mamilion ya pesa bila hata kuyafunga
Hili swali nilitaka kuuliza lakini baada ya kukuta umeuliza nikasubiri wakujibu. Sasa tokea tarehe 1 Oct hadi Leo halija jibiwa.Wajuzi namba msaada hapa kwenye Klik App wa NMB inasumbua kidogo. Nikitaka kulog in nikiandika namba ya simu na PIN inaishia kuniletea hii notification badala ya kufunguka.
Mwanzo nilijua kwa vile nimebadili namba na kuweka Voda kwenye NMB mobile wakati Internet natumia ya Tigo, Lakini hata nilipojaribu kutumia internet ya Voda bado mambo ni yaleyale. View attachment 1220512
Hili swali nilitaka kuuliza lakini baada ya kukuta umeuliza nikasubiri wakujibu. Sasa tokea tarehe 1 Oct hadi Leo halija jibiwa.
Nadhani Jamiiforum wafute tuu hii thread maana haina maana tena ikiwa NMB wameipuuza nasi tunahangaika nayo bure.
Sio ifakara tu NMB kalibia matawi yake mengi huwa ni kero, Sifahamu hasa kwa nini? Na ninauzoefu wa hili katika branch za NMB kadhaa Hadi inafikia hatua mtu unachukua uamuzi wa kuondoka bila kupatiwa huduma
Mie natumia card ya chp chap tokea niajiliwe kuwa mtumishi wa uma sipati sms binapo ingiziwa mshahara wangu nilienda ofisini nikawaeleze tatizo langu wakaniambia inabid ujaze fom yan massege alert nilivo jaza lakini tatizo likawa lilelele nikarud tena ofisin wakaniambia inabid account yako ya chapchap inabid uikuze yan uiongezee taarifa nikafabya hivyo mwezi ulio pita bado sikupata sms ya kunitaarifa kama pesa imeingia
Yan mm nimekuwa mtu wa kuuliza tu kwa watu vip mshahara umetoka hiv haya mateso mpka lini
Hahaah unatumia" line fake mkuu...."Wajuzi namba msaada hapa kwenye Klik App wa NMB inasumbua kidogo. Nikitaka kulog in nikiandika namba ya simu na PIN inaishia kuniletea hii notification badala ya kufunguka.
Mwanzo nilijua kwa vile nimebadili namba na kuweka Voda kwenye NMB mobile wakati Internet natumia ya Tigo, Lakini hata nilipojaribu kutumia internet ya Voda bado mambo ni yaleyale. View attachment 1220512
Utaratibu wa riba unapaswa kuwa hivyo. Ukiona ni tofauti ujue kuna by laws..Habari..... Mimi ni mtumishi wa serikali pia ni mfanyabiashara. Naomba kujuzwa Endapo nitachukua mkopo(Tsh.5000,000) kwa kutumia nafasi ya utumishi wangu kwa muda wa marejesho miezi 60 ambayo interest yake itakuwa Tsh.2,455,772.73
Swali: Je? kupitia mihangaiko yangu ndani ya miezi 12 nikahitaji ku clear mkopo wangu nitalipa interest kiasi gani?
Je nitalipa ile ya miezi 12 yaani interest ya Tsh.472285.12
Duh kama unagombea serikali za mtaa.Unaanzia kwa kiongozi wa mtaa mjumbe anakupa form au barua unaenda serkali ya mtaa yaani kwa mtendaji eneo lako halafu bank. Ndivyo nivyopata mimi labda kama kuna badiliko ila uwe na passport 2 ililuwa elfu 10 nenda na 20 itatosha
Kuna branch moja NMB wana customer care nzuri mno nadhani kwa sababu wateja wengi wa pale ni wasomi na wanawakoromea. Kuna branches customer care ni mbovu mno but na sisi wateja ndo tunasababisha, hatuwakoromeiSio ifakara tu NMB kalibia matawi yake mengi huwa ni kero, Sifahamu hasa kwa nini? Na ninauzoefu wa hili katika branch za NMB kadhaa Hadi inafikia hatua mtu unachukua uamuzi wa kuondoka bila kupatiwa huduma
Shida sio kuwa koromea, ila shida huduma zao ni mbovu ila wanao sababisha ni customer care na isitoshe nimeshawahi kufika branch ya Lindi ya NMB tunahoji Mbona hatuhudumiwi, huduma haziendi ipasavyo tunakazi zingine zakufanya unakuta manager anakujia juu na anaongea lugha chafu Hadi anakuambia nenda kwa wakala wa NMB uka hudumiwe sasa hizi bank kazi yake nn?Kuna branch moja NMB wana customer care nzuri mno nadhani kwa sababu wateja wengi wa pale ni wasomi na wanawakoromea. Kuna branches customer care ni mbovu mno but na sisi wateja ndo tunasababisha, hatuwakoromei
bila shaka naungana nawewe katika hili ya kwamba kuna branches za NMB ambazo zinafanya kazi zake very intelligence hadi wateja muna be happy ila jambo la msingi hizo branches no chache mno ni nadra kuzipata ila asilimia kubwa NMB inawapasa kulekebisha huduma zake ziwe imara zaidi.Kuna branch moja NMB wana customer care nzuri mno nadhani kwa sababu wateja wengi wa pale ni wasomi na wanawakoromea. Kuna branches customer care ni mbovu mno but na sisi wateja ndo tunasababisha, hatuwakoromei
Kwa nini huyo meneja msimreport kwa wakubwa zake akaadabishwa? Sisi ndo wateja na bila sisi hawana kazi, wao wanatuhitaji zaidi kuliko sisi tunavyowahitajiShida sio kuwa koromea, ila shida huduma zao ni mbovu ila wanao sababisha ni customer care na isitoshe nimeshawahi kufika branch ya Lindi ya NMB tunahoji Mbona hatuhudumiwi, huduma haziendi ipasavyo tunakazi zingine zakufanya unakuta manager anakujia juu na anaongea lugha chafu Hadi anakuambia nenda kwa wakala wa NMB uka hudumiwe sasa hizi bank kazi yake nn?
Nimejaribu na mimi nikajua kwangu tu!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us