Ulitumia mbinu zipi ukafanikiwa kuacha zinaa?

Hahaaaaaa mimi mwenyewe nakutosha kwasababu mnataka sana damu changa. Although naweza kuwa mkubwa kuliko wewe. Mimi sina baba alishafariki kitambo nadhani hata wewe ulikuwa hujazaliwa .

Basi baba mlezi mke wake akifa unijulishe nije kuwa mamako wa kambo mdogo
 
Ishinde dhambi hiyo kabla hujaoa. Vinginevyo utakuwa kama mwenda shamba anayeamua kuvaa vyatu vya ngozi visafi kabla ya kuosha miguu
Ndiyo maana nataka mwaka kesho usiishie kabla sijaoa labda hii hali inaweza kuisha kwangu.

Hata mimi siipendi kiukweli ila ndiyo imening'ang'ania.

Naungana na mtoa mada.

Ndiyo maana nataka mwaka kesho usiishie kabla sijaoa labda hii hali inaweza kuisha kwangu.

Hata mimi siipendi kiukweli ila ndiyo imening'ang'ania.

Naungana na mtoa mada.
Ishinde dhambi kabla hujaoa.
 
Father of all Snipers,
Tatizo sio kufanya Mapenzi ,yeye shida yake nikuacha zinaa. Maana watu wengi wanachanganya kati ya mapenzi na zinaa. Ngoja tujuzane kidogo mapenzi ni yale ambayo hufanywa ndani ya ndoa lakini zinaa hufanywa nje ya ndoa hivyo jalibu kuelewa ni msaada upi mtu anauhitaji? Ndipo uweze kumshauri
 
Siku hizi hakuna ushauri nasaha. Sheria ya self-testing imeshapitishwa na test kits zimejaa kwenye pharmacies. Jipime.
Ila hii kitu sidhani Kama ni salama sana,washauri nasaha walikuwa wanatuandaa kisaikolojia,Sasa hii ya kujipima kienyeji tutasikia vifo vingi Sana vya kujinyonga hasa mkoani Iringa
 
Kubwa zaidi ni yeye binafsi kusema kichwani mwake hahitaji tena zinaa.. pia achukie kitu hiki kwa moyo wake wote
OFF topic: una account mbili au Mods wanacheza riddim yako!?. Imekuaje unaweza change jina muda uutakao!?.:)
 
Hakuna njia mbadala ya kuacha zaidi ya mhusika binafsi kwa mapenzi na maamuzi binafsi tena kwa kumaanisha ndio utaweza acha.
Kuna wazee ukikaa nao wanajisifia kabisa "mi enzi zangu nilikua nawala vibaya mno" mtu kama huyu kinachomwangusha ni kikomo tu cha mwili kutenda ila kiakili bado anahitaji🤣
 
Ila hii kitu sidhani Kama ni salama sana,washauri nasaha walikuwa wanatuandaa kisaikolojia,Sasa hii ya kujipima kienyeji tutasikia vifo vingi Sana vya kujinyonga hasa mkoani Iringa
Hiyo pia itasaidia kupunguza maambukizi.
Ukimwi unaenea pale mwathirika asiyejitambua anapoendeleza ngono zembe. Lakini kama mwathirika akitumia dawa hadi akafikia kwamba akipima viral load kipimo kinasoma 'undetectable', hapo hawezi tena kuambukiza.
Wanaotaka kuendekeza ngono zembe na wasiotaka kutumia dawa za ARV bora wajitangulize tu wapungue
 
OFF topic: una account mbili au Mods wanacheza riddim yako!?. Imekuaje unaweza change jina muda uutakao!?.:)
Swali lako liko too personal kiongozi..
Be humble mambo yatakua mepesi upande wako;);););)
 
Hakuna njia mbadala ya kuacha zaidi ya mhusika binafsi kwa mapenzi na maamuzi binafsi tena kwa kumaanisha ndio utaweza acha.
Kuna wazee ukikaa nao wanajisifia kabisa "mi enzi zangu nilikua nawala vibaya mno" mtu kama huyu kinachomwangusha ni kikomo tu cha mwili kutenda ila kiakili bado anahitaji
Uko sahihi mkuu
 
Hiyo pia itasaidia kupunguza maambukizi.
Ukimwi unaenea pale mwathirika asiyejitambua anapoendeleza ngono zembe. Lakini kama mwathirika akitumia dawa hadi akafikia kwamba akipima viral load kipimo kinasoma 'undetectable', hapo hawezi tena kuambukiza.
Wanaotaka kuendekeza ngono zembe na wasiotaka kutumia dawa za ARV bora wajitangulize tu wapungue
Wakijitanguliza wanaacha yatima wakiteseka,hujaliona hilo mkuu?
 
Nilipompata mrembo wangu wa maisha tu niliachana na habari za kuonja onja

Nikawa bize sana na kazi na mazoezi kwa wingi kiasi kwamba hata muda wa kuwaza kutafuta michepuko nakosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom