Mimi nakushangaa wewe Boko ambaye hata jina linakusadifu... unapiga maboko tupu uwanjani. Hujui mpira na sijui kwa nini umekuwa captain. captain unatakiwa umshauri pia kocha na benchi Zima la ufundi dogo. mpira hujui afu hata kujieleza hujui na pia Kiswahili hujui, boya wewe. sasa hivi...
Sina sababu ya kumtetea Malinzi wala kocha baada ya stars kuvurunda cosafa. Hatujaanza leo kufungwa tulikuwa mbali sana miaka ya 80's laikini saiv tuko mwisho. wenzetu wa Africa wanaelekea mwanza wamefika Dodoma sisi tunaelekea mwanza ndo tupo ubungo maziwa. we are going the opposite direction...
Mimi nadhani unapungukiwa fikra bunifu na kuanza kuijitapa. Tanzania ni nchi yenye marafiki wengi na roho ya uafrica na umoja tunayo. Umaskini wako kichwani ulioambatana na fikra za kuheshimu walionacho na kudharau wasio nacho ni upumbavu. Tanzania imepigania uhuru wa nchi ngapi hapa Africa...
Nabii hakubaliki kwao lakini hili suala kalifanya mapema sana. angewaacha wakenya waumie kwanza. wameyasimamisha magari yetu kwa muda gani sasa? tumepata hasara kiasi gani JK ulipaswa utulie kwanza rudi nyumbani uongee na wanao. ulienda kwny sherehe sasa diplomacy ya nini tena? Kenya nyoko zenu
yatangazwe matanga sio tu msiba. Tanzania Go Go Go Go Go!!!!! we are moving now it is high time to take all Kenyans who are the shopkeeper in our supermarkets.
Tatizo wakenya wanadharau sana na kuamini kuwa wanaakili kuliko nchi yoyote hapa EA. suala hili ni gumu sana na halina adhari kubwa kwa TZ kama KE. wanakataza magari yetu kuingia Kenyata international, wanatuumiza afu sisi tukae kimya na kuendelea kuwapa feva???? naunga mkono serikari kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.