Recent content by Sanda-CR7

  1. S

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar es Salaam: Huyu ndiye anaua Watanzania kwa madawa ya kulevya

    Ngachoka mie nkajua huyo ndo drug mwenyewe
  2. S

    JamiiForums Tanzania Neymar Kijana anayechukiwa na wanazi hahaha

    Hivi mngeshinda haya makosa ya refa mnayoleta sahv mngeyaongea?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unakoroma kama punda mpaka nashindwa kulala

    Haya ndo madhara ya wanawake wanaoolewa bila kupitia kwa somo kupata ushaur wa kuvumilia changamoto za ndoa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Neymar hana tofauti na Pogba, utoto mwingi sana!!

    Mkuu di Maria wa Man U au wa real Madrid? Kilichowazidi psg n timu pinzan kuwa na uzoefu wa mashindano makubwa na uzoefu unatikana kwa kucheza mechi nyingi za ligi ya mabingwa sio ufaransa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapoteza muda kwenye 'smartphone'?

    Mkuu msukuma kokoteni au mpiga tofali anamiliki smartphone unadhan itamletea maendeleo au ndo inamponoa vijisenti vyake kununua mb kushinda fb na you tube, mm naona hz vitu zilikuja mapema tz kabla vijana hatujawa na elimu ya kutosha
  6. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapoteza muda kwenye 'smartphone'?

    Yawezekana ushaur huu ww usikuhusu ila ukweli smartphone nijanga kwa tulio wengi na janga la pili n hz bet haya majanga mawili yapo mikononi mwa vijana wengi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Neymar hana tofauti na Pogba, utoto mwingi sana!!

    Msimshambulie NEIMAR angalien na watu wa timu pinzani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Real madrid

    Mukubwa ni mukubwa muraaa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyosemwa kampeni za CCM kumnadi mgombea ubunge Kinondoni

    Umeonaeee huyu na nape usiwaamin kabisa wakisemacho
  10. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuingiza mfumo wa haki sawa kijinsia (50 by 50) umeligharimu Taifa

    Nadhani hii changamoto anayo uchebe kwa Sasa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuingiza mfumo wa haki sawa kijinsia (50 by 50) umeligharimu Taifa

    Acha bange kijana yaan unamaanisha kugegedana ndo imethibitishwa kisayansi dah we mtu umenchekesha sn
  12. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuingiza mfumo wa haki sawa kijinsia (50 by 50) umeligharimu Taifa

    Mkuu umeona mbali Sana hili tatizo n kubwa mno Asante kwa kunifungua ubongo wangu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa za chuki, Lissu alipiwe matibabu

    Kunakukosoa na kulalamika wewe mwanzo mwisho unalalamika tuu sijaona ukikosoa hapa zaidi ya kumnanga mkuu wa nchi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa za chuki, Lissu alipiwe matibabu

    Pole sana kuishi kwa kulalamika ktk utawala unaweza kujisababishia magonjwa yasiokuwa na lazima km sukar presha na nk.. ni ushauri tuu km usijenge chuki
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa za chuki, Lissu alipiwe matibabu

    We jamaaa unalalamika kila siku, kwann usifanye siku moja ukaweka uziwako humu ukatema nyongo uliyonayo halafu ukaachana na mpango wa kulalamika ukajikita ktk kutafuta suluhisho ya matatizo ya serikali yetu
Back
Top Bottom