Yaliyosemwa kampeni za CCM kumnadi mgombea ubunge Kinondoni

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
452
1,000
*YALIYOSEMWA KAMPENI ZA CCM KUMNADI MGOMBEA UBUNGE (CCM) KINONDONI MHE. MTULIA KATA YA NDUGUMBI TAR. 14FEB*

"Mtulia asubuhi alikutana na Waziri Mkuu Majaliwa akapewa fursa ya kuwasilisha shida za wana Kinondoni. Ameshaanza kufanya kazi ya Ubunge hata kabla ya kupigiwa kura" - Mussa Azzan Zungu, MB (Ilala)

"Mtulia ni Kiongozi makini, anafaa kuwa Mbunge wenu" - Zainabu Katimba, MB

"Mtulia alipenda sana kuwatumikia Watu wake ila tatizo lilikuwa kwenye timu yake ya usajili ilikuwa mbovu, haina nguvu" - Abdallah Ulega, MB (Mkuranga)

"Nimefanya kazi na Mtulia mara nyingi, ni Mtu makini anafaa kuwa Mbunge wenu" - Suleiman Jafo, MB (Kisarawe)

"Mtulia tuna mkubali sana, naomba mtuletee Mtulia tufanye nae kazi za kimaendeleo." - Dk. Tulia, NS

"Mtulia ameingia kwenye chama chenye ilani ambacho kinakaa vikao vyake mara kwa mara vya kimaamuzi vya kuleta maendeleo" - Dk. Tulia, NS

"Wanaosema kurudia uchaguzi ni gharama, wanataka kuturudisha kwenye mfumo wa chama kimoja" - Hussein Bashe, MB (Nzega Mjini)

"Sisi Wabunge tuliokuja hapa tupo tayari kuwa sauti ya Mtulia, sauti ya wana Kinondoni kwenye shida, kero na karaha zenu" - Hussein Bashe, MB (Nzega Mjini)

"Benki ya Dunia imeshatoa pesa za kutengeneza Mto wa Ng'ombe, mchagueni Mtulia akasimamie ufanisi wake" - Idd Azzan

"Mwenyekiti wa Mtaa amekula pesa za kulipia maji ndio maana maji hayatoki. Mchagueni Mtulia akamalize tatizo hilo muanze kupata huduma ya maji kama awali" - Idd Azzan

"Mtulia ni Mchezaji mzuri mwenye maono na fikra nzuri, anawafaa wana Kinondoni" - Sixtus Mapunda, MB (Mbinga)

"Mtulia alikuwa na wakati mgumu wakati yupo upinzani kutokana na kukwamishwa na wenzake waliokuwa hawataki Serikali ipate sifa ya kuwaletea maendeleo Wananchi." - Sixtus Mapunda, MB (Mbinga)

"Nilipata nafasi ya kuwa Mbunge. Ulikuwa Ubunge wa mashaka, wenye masharti na lawama tele." - Mtulia

"Timu kubwa ya viongozi wa kitaifa wakiwemo Wabunge, Naibu Spika na Mawaziri ni ishara tosha ya kuwapata wenzangu wapya wenye ushirikiano. Maendeleo lazima yatapatikana" - Mtulia

"Mto wa Ng'ombe na Mto Mwangosi, barabara za Argentina na Sinza nitahakikisha zinajengwa. Pesa zipo tayari" - Mtulia

"Nitahakikisha Vijana wanakopeshwa Pikipiki toka asilimia 5 ya Manispaa" - Mtulia

"Akina Mama nao pia sijawasahau, kuna pesa asilimia 5 toka Manispaa nitahakikisha mnapatiwa mikopo ya ujasiriamali" - Mtulia

"Waziri wa Tamisemi yupo hapa, naomba atusaidie kufanya marekebisho ya kimiundo mbinu kwenye shule za jimbo la Kinondoni" - Mtulia

"Mwenyekiti aliyeshindwa kulipa bili ya maji, deni hilo linakwenda kulipwa na Wananchi muendelee kupata maji safi na salama kama awali" - Mtulia

"Mnanijua sana, mnaujua uwezo wangu kiuongozi. Nawaombeni sana mkaniombee kura kwa waliopo majumbani na tarehe 17 muwahi vituoni mapema mkanipigie kura ya ndio niwe Mbunge wenu. Naombeni sana kura zenu za ndiyo." - Mtulia
IMG-20180214-WA0056.jpg
IMG-20180214-WA0065.jpg
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
32,394
2,000
*YALIYOSEMWA KAMPENI ZA CCM KUMNADI MGOMBEA UBUNGE (CCM) KINONDONI MHE. MTULIA KATA YA NDUGUMBI TAR. 14FEB*

"Mtulia asubuhi alikutana na Waziri Mkuu Majaliwa akapewa fursa ya kuwasilisha shida za wana Kinondoni. Ameshaanza kufanya kazi ya Ubunge hata kabla ya kupigiwa kura" - Mussa Azzan Zungu, MB (Ilala)

"Mtulia ni Kiongozi makini, anafaa kuwa Mbunge wenu" - Zainabu Katimba, MB

"Mtulia alipenda sana kuwatumikia Watu wake ila tatizo lilikuwa kwenye timu yake ya usajili ilikuwa mbovu, haina nguvu" - Abdallah Ulega, MB (Mkuranga)

"Nimefanya kazi na Mtulia mara nyingi, ni Mtu makini anafaa kuwa Mbunge wenu" - Suleiman Jafo, MB (Kisarawe)

"Mtulia tuna mkubali sana, naomba mtuletee Mtulia tufanye nae kazi za kimaendeleo." - Dk. Tulia, NS

"Mtulia ameingia kwenye chama chenye ilani ambacho kinakaa vikao vyake mara kwa mara vya kimaamuzi vya kuleta maendeleo" - Dk. Tulia, NS

"Wanaosema kurudia uchaguzi ni gharama, wanataka kuturudisha kwenye mfumo wa chama kimoja" - Hussein Bashe, MB (Nzega Mjini)

"Sisi Wabunge tuliokuja hapa tupo tayari kuwa sauti ya Mtulia, sauti ya wana Kinondoni kwenye shida, kero na karaha zenu" - Hussein Bashe, MB (Nzega Mjini)

"Benki ya Dunia imeshatoa pesa za kutengeneza Mto wa Ng'ombe, mchagueni Mtulia akasimamie ufanisi wake" - Idd Azzan

"Mwenyekiti wa Mtaa amekula pesa za kulipia maji ndio maana maji hayatoki. Mchagueni Mtulia akamalize tatizo hilo muanze kupata huduma ya maji kama awali" - Idd Azzan

"Mtulia ni Mchezaji mzuri mwenye maono na fikra nzuri, anawafaa wana Kinondoni" - Sixtus Mapunda, MB (Mbinga)

"Mtulia alikuwa na wakati mgumu wakati yupo upinzani kutokana na kukwamishwa na wenzake waliokuwa hawataki Serikali ipate sifa ya kuwaletea maendeleo Wananchi." - Sixtus Mapunda, MB (Mbinga)

"Nilipata nafasi ya kuwa Mbunge. Ulikuwa Ubunge wa mashaka, wenye masharti na lawama tele." - Mtulia

"Timu kubwa ya viongozi wa kitaifa wakiwemo Wabunge, Naibu Spika na Mawaziri ni ishara tosha ya kuwapata wenzangu wapya wenye ushirikiano. Maendeleo lazima yatapatikana" - Mtulia

"Mto wa Ng'ombe na Mto Mwangosi, barabara za Argentina na Sinza nitahakikisha zinajengwa. Pesa zipo tayari" - Mtulia

"Nitahakikisha Vijana wanakopeshwa Pikipiki toka asilimia 5 ya Manispaa" - Mtulia

"Akina Mama nao pia sijawasahau, kuna pesa asilimia 5 toka Manispaa nitahakikisha mnapatiwa mikopo ya ujasiriamali" - Mtulia

"Waziri wa Tamisemi yupo hapa, naomba atusaidie kufanya marekebisho ya kimiundo mbinu kwenye shule za jimbo la Kinondoni" - Mtulia

"Mwenyekiti aliyeshindwa kulipa bili ya maji, deni hilo linakwenda kulipwa na Wananchi muendelee kupata maji safi na salama kama awali" - Mtulia

"Mnanijua sana, mnaujua uwezo wangu kiuongozi. Nawaombeni sana mkaniombee kura kwa waliopo majumbani na tarehe 17 muwahi vituoni mapema mkanipigie kura ya ndio niwe Mbunge wenu. Naombeni sana kura zenu za ndiyo." - Mtulia View attachment 695731 View attachment 695732
Ameanza kivipi wakati alishachaguliwa tangu 2015?!!
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,629

Ni bora ukutane na Simba au nyoka unaweza kupona ila sio huyo kiumbe bashe ni mwasiasa wa hovyo ktk taifa hili anakuangamiza kamwe usiyasikilize manemo yake.
 
Kaisari

JF-Expert Member
Nov 13, 2012
3,624
2,000
Wapiga kura siyo wajinga ki hivyo, hawadanganyiki. Ni utoto kutueleza shida zetu umeenda kumwambia mwingine, huyo na yule walikuwepo miaka 50, iliopita,
Hatuitaji mtu aje atutatulie shida zetu. Hapana.
Tunahitaji kuhamasishana tutatue matatizo yetu wenyewe.

"Anyway naogopa kubomolewa nyumba."
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,629
2,000
"Benki ya Dunia imeshatoa pesa za kutengeneza Mto wa Ng'ombe, mchagueni Mtulia akasimamie ufanisi wake" - Idd Azzan
Kuna dudu linaitwa jangalao ni jinga kweli lilianzisha thread baada salum kuongea kama hivi vijana 10 wa bavicha ni sawa na vijana 1000 wa ccm kwa uwezo wa akili na kufikir Nawapongeza bavicha jitu lilisema haiwezekan sijui nae zungu muongo?
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,629
2,000
"Wanaosema kurudia uchaguzi ni gharama, wanataka kuturudisha kwenye mfumo wa chama kimoja" - Hussein Bashe, MB (Nzega Mjini
Juzi alikuwa anapingana nao kwamba wanasababisha hasara leo kala matapishi yake hawa wa kutupeleka uchumi wa kati taifa la viwanda porojo nyingi halafu anajisifu mtu wa misimamo jua likizama na akili ina lala
 
Cognitivist

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,057
2,000
Yaani haya maccm hata aibu hayaoni yaani cabinet yote imetoka kwenda kulinadi ligombea lao, yamechukua mpaka na kale ka bi kiroboto kabungeni lakini bado yanapanga kuiba kura na kulazimisha ushindi kwa nguvu kupitia polisi na NEC. Shame on you ccm!
 
wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
452
1,000
*YALIYOSEMWA KAMPENI ZA CCM KUMNADI MGOMBEA UBUNGE (CCM) KINONDONI MHE. MTULIA KATA YA MWANANYAMALA TAR. 15FEB*

"Nawaomba sana mumpigie kura za ndiyo Mtulia kwa sababu anaweza na ni Mtu sahihi anayewafaa Vijana na Wana Kinondoni wote." - Tabia Mwita, Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa

"Mtulia ni Mtu sahihi kwa maendeleo ya wana Kinondoni." - Tabia Mwita, Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa

"Mtulia anatokana na chama kilichopo madarakani na chenye Serikali. Atawaletea maendeleo, anafaa mpe kura yako ya ndiyo" - Muslim Hassanali

"Mgombea wa Chadema ni miongoni mwa wapiga kura wenu? Atakuwaje Chaguo la wana Kinondoni" - David Kafulila

"Sina mashaka na uwezo wa Mtulia kwa sababu amepikwa vyema, mwaka 2008 alipelekwa Marekani kwenda kupikwa kuwa kiongozi. Ninajua ana uwezo wa kiuongozi" - David Kafulila

"Kama kigezo cha kuchagua chama bora, Chama Cha Mapinduzi ni chama cha kwanza Afrika na cha pili kwa ubora Duniani. Chagueni Chama bora cha CCM" - David Kafulila

"Mtulia amekuwa Mbunge kwa miaka 2, ukimchagua hatakuwa mgeni kiutendaji Bungeni" - David Kafulila

"Mtulia anavyogombea shida yake si mshahara wala posho kwa sababu alikubali kuviacha kwa kujiuzulu. Mtulia ana kiu ya kuwaletea maendeleo wana Kinondoni" - Mhe. Livingstone Lusinde, MB (Mtera)

"Kama ni usaliti, Mtulia hajakusaliti bali ameisaliti familia yake kwani kwa miezi zaidi ya mitatu hapokei mshahara." - Mhe. Livingstone Lusinde, MB (Mtera)

"Ukimchagua Mtulia Serikali itajitahidi kuleta maendeleo Kinondoni ili uchaguzi wa mwaka 2019 na wa mwaka 2020 CCM iweze kushinda kwa kishindo." - Mhe. Livingstone Lusinde, MB (Mtera)

"Wakati Wabunge wa upinzani wakitoka nje, Mtulia ni Mbunge pekee wa upinzani aliyebaki Bungeni kupitisha Bajeti ya nchi. Mtulia anawafaa wana Kinondoni" - Mhe. Suleiman Jaffo, MB (Kisarawe)

"Nyie ni mashahidi namna Mtulia anavyoshirikiana nanyi kukabiliana na mafuriko" - Mhe. Suleiman Jaffo, MB (Kisarawe)

"Mtulia anajua magumu aliyokutana nayo akiwa Mbunge upinzani, ameamua kubadili gia angani na kupanda basi linaloelekea kwenye maendeleo." - Ridhiwani Kikwete, MB (Chalinze)

"Mawaziri, Wabunge, na viongozi wa Serikali waliokuja hapa ni dalili ya ushirikiano tosha atakaoupata Mtulia kuwaletea maendeleo wana Kinondoni. Mchagueni Mtulia" - Dk. Tulia Ackson, NS

"Nimekuwa Mbunge kwa miaka miwili, kuwa Mbunge upinzani ni kazi ngumu sana." - Mtulia

"Namwomba sana Waziri Jaffo atusaidie kutupatia pesa za kusaidia ujenzi wa soko la Mwananyamala" - Mtulia

"Tunaomba Serikali sikivu isamehe deni la Marehemu. Nichagueni nikasimamie hilo" - Mtulia

"Nichagueni nikasimamie Vijana na akina Mama wanapata mikopo ya asilimia 10 toka Manispaa" - Mtulia

"Nichagueni nikaungane na timu kubwa ya Serikali iliyopo madarakani kuwaletea maendeleo" - Mtulia

"Nawaombeni sana Ndugu zangu nyoote mniombee kura na Jumamosi Februari 17 mjitokeze kwa wingi, mapema vituoni mnipigie kura za ndiyo" - Mtulia
FB_IMG_1518714277432.jpg
 
lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,964

"Nawaombeni sana Ndugu zangu nyoote mniombee kura na Jumamosi Februari 17 mjitokeze kwa wingi, mapema vituoni mnipigie kura za ndiyo" - Mtulia View attachment 696168
Bora Tambwe Hizza alijua mapema akahamia upinzani!!! Maana angefia huko angeenda motoni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom