Recent content by samweli wa pili

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

    Ndivyo kolo mnavyotamani I. Gamindi bado yupo sana.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

    Akili ndogo. Kwani wangekaa chini na wapalestina wakatekeleza azimio la Un kungekuwa na shida gani. Wapumbavu sana hawa wazayuni. Mungu alishawaacha wao Hawajui.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uholanzi kutoruhusu wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati kuigeuza Amsterdam kuwa Gaza ya Ulaya

    Wapigwe tu mama hakuna namna nyingine. Waisraeli ni washamba sana. Wanaua watoto na akina mama wasio na hatia. Wafanywe kama kipindi cha nyuma wakionekana popote duniani washambuliwe. Ndio watashika adabu Yao.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Botswana ndio wamechagua huyu wakamuacha Progressive Masisi?! Majanga matupu

    Watz wanaogopa mabadiko. Wanataka Mambo yaleyale.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

    Wanaita halo effect. Unatafsiri tabia ya mtu mmoja na Ku generalize kwamba jamii yote iko hivyo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Waadventist Wasabato limchukulie hatua za kidhamu mshiriki wao Mafwele

    Hizi chuki ni mbaya. Kwamba hao uliowaita wa sabato ndio waovu kuliko waumini wa madhehebu mengine. Ni mwongozo upi wa kanisa la wasdventista wa sabato unaokataza muumini mmoja mmoja kuwa mwanasiasa? Ninachokujukisha ni kwamba kanisa linachokataza ni kanisa lenyewe kama taasisi kujihusisha na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

    Mbona ukigoogle unapata kila kitu. Kwa vifaa wametuzidi ila jeshi letu kubwa Sana. Vifaa vinanunuliwa tu vikihitaji.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

    Mbona ukigoogle unapata kila kitu. Kwa vifaa wametuzidi ila jeshi letu kubwa Sana. Vifaa vinanunuliwa tu vikihitajika.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile madogo ya uume

    Wajitokeze wadada. Inchi ngapi ibawafaa!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sanduku la Agano liko wapi?

    Sanduku la agano liko hapa Ufunuo wa Yohana 11:19 [19]Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya fangasi

    Uzuri wa Sua wanaotesha hao fungus kwa kufanya kitu kinaitwa culture and sensitivity kujua dawa gani itakufaa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mliokwazika na tamko la Papa jiungeni na kanisa aliloanzisha Padre Martin Luther la Lutheran msikae bila kusali

    Mbona kwa waitaliano ni mambo ya kawaida. Ushoga kwao ulianza zamani. Msimlaumu papa. Waroma wametaka wenyewe. Pia mara zote rc ina tabia ya kukumbatia matajiri alimradi wanatoa fedha. Waniliki wakubwa wa mabaa,madanguro nk ni warumi. Ndio kisa cha utajiri wa Rumi ya kidini, kuzini na matajiri...
  13. S

    JamiiForums Tanzania CRDB BANK tunaomba ufafanuzi baada ya mikopo ya utumishi kutumia mfumo wa ess

    Shida ni kwamba bado wanakata processing fees na ukifanya top up unalipa upya bima. Hivi nikiuziwa gari yenye valid bima unalipa upya tena.
Back
Top Bottom