Recent content by samweli msigwa

  1. samweli msigwa

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Habari watanzania Mimi nikijana mdogo nipo Kibaha Mlandizi nataka kufanya biashara nahitaji mawazo ya biashara gani nifanya inayo toka nainawateja kwa hapa Mlandizi naiwe yenye kutuanzia mtaji mdogo Kama laki moja ushuriwenu pls nataka nijikwamue kimaisha
  2. samweli msigwa

    Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

    Nitakubali kuchanjwa,Ikiwa Ntahakikishiwa majawabu yafuatayo kama ni Sahihi au Laa /// Namuunga Mkono Gwajima kama ntapingwa na Maswali Haya 1.qn, Nikipata chanjo ntaacha kuvaa Barakoa!??? Jibu: Hapana 2.qn, Nikipata chanjo,Shule Mikusanyiko,Biashara,Kukaa mbali mbali, na vinginevyo vitarudi...
  3. samweli msigwa

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Unapo fikilia kurudi nitayari unakua umsha potea so tahadhari kabla ya hatari
  4. samweli msigwa

    Wanaouhubiri chanjo kumbe hawajachanjwa

    Hii naipinga mdau Mimi pia nimiongoni mwa watu ambao ninamashaka Sanaa na hii chanjo japo sija fanya utafiti lakini kwa uzoefu wangu na nimesikia baadhi ya wataalam wa mambo hayo inaonyesha wazi kabisa chanjo hii sio salama Kuna uhiyari wa kuchanja ilakini inaonesha ulazima upo Tena Wana...
  5. samweli msigwa

    Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Wadau mpooo nataka tujadili kuhusu chanjo ya covid19 Kuna sehemu nimeona watu Wana lazimishwa kucho na usipo choma unatishiwa kufukuzwa kazi na Kama mnavyo jua wa Tanzania Ni masikini wanataka kukubari kinyonge hii imekaaje wadau tuna wadaidiaje kima wazo na maisha bila ya kazi haya endi na...
  6. samweli msigwa

    Naomba kujuzwa madhara ya kutochangia damu kwa muda mrefu

    Naskiaga kuwa Kama unachangaia damu usipo changia kwa muda mrefu damu inakuwa nyingi mwilini hivyo inakuletea shida Kama vile kicha kuuma kuuishi kizungu zungu mwili kuchoka muda wote Sasa nahisi hiyo Hari ninayo inabidi niende Nika cheki afya hospital
  7. samweli msigwa

    Naomba kujuzwa madhara ya kutochangia damu kwa muda mrefu

    Nilisha wahi changia damu mara moja tu maisha mwangu ulikua 2017 tangu hapo Sina wahi Tena changia damu nahitaji kujua madhara ya yatokanayo na kuto changia damu kwa muda mrefu dalili zake na Ina athiri Nini?
  8. samweli msigwa

    Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?

    Utamtambuaje mpenzi wako Kama kafika kileleni
  9. samweli msigwa

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Nwahi kufika kilele naomba ushauli nitumie dawa gani muda huu ili isinikute harii kwa mkewangu maana nimepoteza kujiamini kabisa kwasababu ya Hilo tatizo mkewangu asije. Nikimbia
  10. samweli msigwa

    Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Imepunguza hisia za tendo nikiwa na dhemejiako mpaka niangalie video za ngono
  11. samweli msigwa

    Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Nina tatizo la nguvu za kiume na nipo kwenye ndoa hii nimeathilika nadhani ni kutokana na kupiga punyeto kwa muda mrefu. Sasa leo nataka ushauri na msaada nataka nipige show ya kibabe kwa wife leo. Ni dawa gani naweza tumia ndani ya muda mfupi kama masaa hivi iki nikikutana naye nimnyooshe...
  12. samweli msigwa

    Januari

    Tunakumbusha tu Januari inaingia; huwa inaonekana ndefu sana kutokana kwamba watu hutumia pesa sana kipindi hiki cha skukuu bila kufikilia mwezi Januari itakuwaje kwao. Niwape hongera na pole kwa wale ambao Pesa zao znatumika kulipa ada, kodi za pango n.k Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom