Recent content by Samwel_tadei

  1. Samwel_tadei

    Huna ajira? Pitia hapa, chukua hatua

    Sio mpaka ufukuzwe kazi ndo ugundue kipaji chako na sio lazima tuajiriwe vijana kupitia hii itaku ni darasa huru asante broo!!!!!
  2. Samwel_tadei

    Vurugu za Polisi dhidi ya CUF Jana, Vijana wa UKAWA wazungumza

    Nivigumu kumkali mtu aliye jipanga kwa ubaya kwa kumkabili kwa wema hii nikarne ya 20 nasi tuwakabili kwa ubaya hawa ccm tumechoka ssa watanzania
  3. Samwel_tadei

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

    Kuna inchi ya ahadi na inchi ya laana sasa Tanzania ni inchi ya laana!
  4. Samwel_tadei

    Kwanini DSTV ni ghali sana?

    Ha ha ha ha ha ni bora na DSTV hv vyengine nimauza uza matupu
  5. Samwel_tadei

    Niuzie smartphones

    Kwan we jamaa haupajui mlima,au hata uchumi?
  6. Samwel_tadei

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    Sihamin kama zohan unasanda game na kuiacha tamadun ya rap
Back
Top Bottom