Recent content by Samwel Jr

  1. Samwel Jr

    Watanzania mpo tayari kuchagua kiongozi ambaye yupo bega kwa bega na mafisadi waliokwapua billioni 60

    Acheni kupotoshana pigeni kura utasemaje humpendi mtu fulani wakati kwenye mabadiliko haupo kama shida ni CCM si kuna Chauma mchagueni huyo au shida ni mnataka lissu awe rais kama ni upinzani ka CUF ni wapinzani wachagueni
  2. Samwel Jr

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wakuu kumkosa Kitasa Je tumekosea kwa Isak?
  3. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Kwishaaaaah ni bardiii enyeweee mkuu nimenyaka maneno mkuu shukrani
  4. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Toka uliposema hujaona la maana wewe ushajiona wa maana Na kuhusu chai uliza kama nimepata mlo wa asubuhi umekariri chai wewe kunywa chai 😂😂😂😂
  5. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Mkuu haya mambo ya umri alafu sisi tunayaendekeza sana sana mimi binafsi nafanya kazi na mcroasia ana miaka 22 ameoa na ana watoto wawili haya mimi mkubwa kwake why nionekane mdogo
  6. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Wewe wa maana una nini la maana ambacho wengine wanaona nichamaana kwako maana hata wewe sio wa maana mwenyewe
  7. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Ila yanamachule kwa ndani yaache tu
  8. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Mkuu ningekuwa naishi naye mimi si ningekuwa namlamba vitasa deyle Unajua mkuu hayo mambo siyaweki sana akilini ila now nimejua ukweli yapo maana hamna alichokuwa anakosa mkuu hamna alichotaka akakikosa inakuwaje mtu aseme anataka kuondoka hivihivi tu nimeamini kuna kitu alafu alipoenda kaenda...
  9. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Mkuu ningekuwa naishi naye mimi si ningekuwa namlamba vitasa deyle
  10. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Point mamen
  11. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Kwishaaaaa bardiii enyeweee nimenyiwuti zangu hapa wananitafuta nimeamua kuvunga mazima
  12. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Mwezi wa nne alienda pasaka kwao kama familia wakakutana akaulizwa mbona hata hauji nyumbani kwangu na hatukai mbali akamwambia tutakuja sasa alivorudi huku akasema anataka aende kwa baba mdogo nikakataa nikamwambia si mlikuwa wote moshi sasa kuzurura ya nini ni hivo mkuu
  13. Samwel Jr

    Nifanye nini katika hili?

    Umenichekesha wewe haya mambo bhana unakuta kuna yako unaonaga ni ujanja alafu mimi sifagilii kwahiyo bhana acha yawe tu
Back
Top Bottom