WeweQUOTE="Laki Si Pesa, post: 33614657, member: 529390"]
huwezi pingana na itikadi, sera za chama chako, ukiwa mwana CCM, lazima ufuate maamuzi ya chama, kama hukubaliani nayo ondoka tafuta chama kingine, au anzisha chama chako, hao unaowaita bendera fuata upepo unawadhalilisha tu, hata wewe...