Nenda katoe malalamiko kwa mwenyekiti wa mtaa atalifanyia kazi mie mtaani kwangu ilikuwa hivyohvyo tena wao wanasali mpka sa 4 alafu wanaenda kulalala wanatuachia hizo speaker tunapambana nazo usiku kucha , nikaenda kuwashtaki wakatulia siku mbili baada ya hapo wakalianzisha tena
Nikarudi tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.