Recent content by samson89

  1. S

    Mauaji ya kupanga na dhana nadharia za kijasusi

    una uhakikaaaaaa;;unayajua maisha ya lissu nje ya siasa
  2. S

    Lowassa mzalendo wa kweli

    kwa hyo mlijua ukwel kuwa lowasa sio fisad baada ya kuhamia chadema;;
  3. S

    CHADEMA yasisitiza kufanya maandamano kesho ya amani

    kwan 2015 hawakupambana majukwaan kwa hoja huu sio muda wa kupambana majukwaan ni muda wa kujenga taifa huku ukishaur na kukosoa sio kupambana
  4. S

    Johh Heche amtaja Rais Magufuli kuwa shahidi yake namba moja katika kesi ya uchochezi

    ndo hapo sasa mara hatumbui mara cjui nb 2020 niwape kura mm nmerogwa mm
  5. S

    Ushindi wa Uhuru Jomo Kenyata ni pigo kwa Rais Magufuli wa Tanzania

    unajua ndo mana tunawaambia sio kusoma tu darasan soma tafakar vzur huu ni utoto kabisa uliooandika mbona LOWASA RAFIKI WA KIKWETE INA MAANA NI PIGO KWA KIKWETE::raila na magufuli ni marafiki tangu enzi sasa na urafiki wao hauna uhusiano na kuongoza inchi kwan raila hajawah kuwa rais hiv...
  6. S

    Kwanini Rais anaogopa mikutano ya vyama vya siasa?

    kwan n i muda wa kupambanisha hoja au ni muda wa kumkosoa pale anapofanya vbaya;;
  7. S

    Kwanini Rais anaogopa mikutano ya vyama vya siasa?

    d adaah kwel jembe hata marekan na ulaya na inch zilizoendelea sionag vyama vyao baada ya uchaguz kuisha et kuzunguka inch nzimakufanya siasa bal hupambania bungen na vikao vya vyama
  8. S

    DAR: Mahakama Kuu yatupilia mbali maombi ya wabunge Viti Maalum 8 wa CUF

    of course alaf mtatiro yupo mitandaon kupiga propaganda kuwa lipumba hayupo kisheria kumbe wao ndio wanakosea
  9. S

    CHADEMA kwenda mahakamani kudai haki ya mikutano ya hadhara

    hii stail mliyotumia chadema kwa mawazo yangu;;mkipeleka kes mahakaman juwa kuwa kuna uwezekano pengne kesh ikasikilizwa na kuhairishwa hairishwa mpaka mnajikuta 2019 hii hapa;;mnashangaa hukumu inatoka kuwa nihaki kufanya mikutano;; ni bora mfanye utafit ni namna gan mnaweza kueneza siasa zenu;;
  10. S

    Serikali yaleta wataalamu kutoka China kudhibiti mitandao ya kijamii kama YouTube, Facebook

    ni sawa sio uongo mitandao ya kijamii ikitumika vibaya;;inaweza inaweza kuchochea vurugu na mambo mengne
  11. S

    GE2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

    yamindinda, w big up mkuu watu wanacomment kwa ushabik tu hata kuchungulia sheria inasemaje hawatak lkn mtu anakwambia kaonewa::anasubir kiongoz wake atoe .msimamo na yy achukue huo huo:::kutafakar nooo
  12. S

    GE2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

    Tetty, hakuna masomo wala profesional ya kusomea ili uwe rais:narudia tena hakuna masomo wala profesional ya kusomea ili uwe rais:kuna marais weng dunian hawakusoma sheria lakin wamezifikisha inch zao katika uchumi uliobora zaid:kiongoz bora hupimwa kwa matendo na uwezo wa kusimamia maendeleo...
  13. S

    Hivi WanaCCM wanatoka wapi?

    ndio wapo tena weng uzur ni kila mtu anayo haki ya kuunga mkono chama chochote kle na kuwa mwanachama wa chama chochote kle ili mrad asivunje sheria
  14. S

    Zitto Kabwe hajui siasa, hana sifa ya uanasiasa!

    siasa sio kupinga kla ktu kwa uelewa wangu;;;na katika siasa pia kuna propaganda pia::hata marekan tunaita baba wa democrasia democratic hawaping kla ktu:::siasa ni kuunga mkono jambo la maslah kwa umma na kupinga jambo lolote lisilo na maslah kwa umma:::
  15. S

    Rais Magufuli: Hongera Kafulila kwa uzalendo dhidi ya IPTL. Waliokuita tumbili wao ndio matumbili

    wakati katiba ya chenge inapita lowasa alikuwa wap;;wakat msimamo wa ccm serikal mbili lowasa;;sumaye walikuwa wap kupinga muundo huo na kudai serikal tatu na mambo kibao::kla sku mnaambiwa siasa inabadilika kulingana na muda hakuna adui wa kudumu wala rafik wa kudumu kwenye sias::;POLITICS IS...
Back
Top Bottom