Hivi WanaCCM wanatoka wapi?

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,647
14,794
Wakuu, hebu tujaribu kujenga picha...
Hawa wanaoisifia CCM na Magufuli kwa sasa wanatoka wapi?

Au ni wale wanaoishi kinabii? Kwamba kuna maisha mema huko mbeleni?

Hivi hawa wachache waliopo hapa jukwaani, ndio wabunge na hao mawaziri wanaotoka CCM?

Najiuliza hivi kuna raia wakawaida hapa(sio kiongozi wa chama, mbunge wala waziri). Anayekitetea chama hiki na Mwenyekiti wake?
Yupo mtu wa hivi kweli humu?

Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app
 
Watakaopigia kura CCM wataongeza 2020 na wengi watakuwa siyo wanachama wa chama chochote. Katika kosa kubwa lilofanywa ni kutoweka wagombea huru nadhani CCM na vyama upinzani wangegundua wapigaji kura wengi hawana ushabiki wa vyama kama wanavyodhani. Bahati mbaya kwa hali ya sasa ukilinganisha CCM na Upinzani. Ni bora CCM japo kwa shingo upande.
 
Wana CCM na CCM ipo imara kabisa. Kila mtanzania kwa sasa anaimba na kuisifia CCM kwa sababu Tz kwa sasa hatuna upinzani, maana ulishakufa!
 
wanatoka kwenye jamii hii hii, ni kwamba tunatofautiana mtazamo na maono. Na wengine ndiyo hivyo wakipenda chongo huita kengeza, asubuhi anasifia mchana anakwambia ngoma bilabila kama unachochote nisaidie...
 
Mkuu..
Kwenye msafara wa mamba na makenge wamo.
Ndio maana hata marekani kuna matajiri wengi zaidi duniani lakini kuna masikini wanaokufa kwa kukosa chakula.
Iyo ndio dunia kuna watu wamezaliwa kujaza nafasi na kutajirisha wengine na kuwasifia hata kama wao hawapati kitu.

Ushabiki ni mbaya sana. Alafu ata mtahani unapokaa ukimkuta mtu anaemsifia chief mangungo utakuta ni yale mateja yaliyopoteza matumaini na maisha utayasikia yakisema "bora tufe wote"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetuambia kwanza wewe unatoka wapi usiyeona mambo mazuri anayoyafanya Rais Magufuli kwa ajili ya watanzania?
Kwa taarifa yako Rais Magufuli kwa sasa ndiye Rais bora hapa Afrika.
Mpaka anapomaliza mihula yake miwili ya urais bila shaka atakuwa Rais bora kabisa DUNIANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakaopigia kura CCM wataongeza 2020 na wengi watakuwa siyo wanachama wa chama chochote. Katika kosa kubwa lilofanywa ni kutoweka wagombea huru nadhani CCM na vyama upinzani wangegundua wapigaji kura wengi hawana ushabiki wa vyama kama wanavyodhani. Bahati mbaya kwa hali ya sasa ukilinganisha CCM na Upinzani. Ni bora CCM japo kwa shingo upande.

Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app
 
Wana CCM na CCM ipo imara kabisa. Kila mtanzania kwa sasa anaimba na kuisifia CCM kwa sababu Tz kwa sasa hatuna upinzani, maana ulishakufa!
maendeleo yamedumaa...

Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app
 
wanatoka kwenye jamii hii hii, ni kwamba tunatofautiana mtazamo na maono. Na wengine ndiyo hivyo wakipenda chongo huita kengeza, asubuhi anasifia mchana anakwambia ngoma bilabila kama unachochote nisaidie...
duh watakuwa wanafiki sana

Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app
 
Ungetuambia kwanza wewe unatoka wapi usiyeona mambo mazuri anayoyafanya Rais Magufuli kwa ajili ya watanzania?
Kwa taarifa yako Rais Magufuli kwa sasa ndiye Rais bora hapa Afrika.
Mpaka anapomaliza mihula yake miwili ya urais bila shaka atakuwa Rais bora kabisa DUNIANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ptuuu, mpaka leo anazindua miradi ya JK tu na kutoa ahadi nyingi kila kitu atafanya yeye. No priority, no focus. Maendeleo ingelikuwa kupayuka naona tungekuwa nchi tajiri kuliko Marekani sasa hivi.
 
Iko chama ndo kimetufikisha hapa alafu kinatupiga mikwara eti tutaisoma namba na tunaisoma kweli
CCM ni ile ile

Samael
 
Back
Top Bottom