Recent content by Sammio_tz

  1. Sammio_tz

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kama unajinasibu unanusa ufisadi, muulize Mbowe michango ya Wabunge iko wapi?

    Matumizi ya fedha Zilizo katwa Kwa wabunge ni Kwa mujibu wa Katiba ya CDM na Nadhani hawapaswi kuingiliwa Katika hili, Kama wabunge wenyewe Hawa lalamiki zaidi ya wale tu Walio fika bei. Kwahiyo, Wala Hakuna haja ya kujua fedha halali walizo changia kuimarisha chama ni tatizo Kwako.. Basi...
  2. Sammio_tz

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hii ni kauli ambayo ni mbaya Sana, Kwa Nini kuongoza wanyonge tuu badala ya kuongoza watu wenye uwezo wa kujinasua kimaendeleo ili tuwe Katika viwango vya kutotumika na wanasiasa Kwa maslahi yao binafsi, so disgusting kuita wanyonge!
  3. Sammio_tz

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    That's good to hear from you Folks!!
  4. Sammio_tz

    Zoezi gani zuri kutengeneza shingo bila kwenda gym

    Hapa lazima utokee machozi Kwa kicheko
  5. Sammio_tz

    Kwa hili la michango kuanzishwa shuleni kinyemela, wizara ya elimu ikubali kubeba lawama

    Tayari hutumika kisiasa Kwa sababu ya Wazazi wengi wanafurahia kutolewa kwenye majukumu na wajibu wao, Mfano Nimesoma koment Moja mtu anadai kuwa walimu hutoa rushwa ili mawazo yao yapite kwenye kikao cha Wazazi... Am very sorry mzazi Hujielewi, tambua wanaoumia Ni Watoto wenu na watarudi kwenu...
  6. Sammio_tz

    Kipato cha mtu mmoja mmoja kimeongezeka, tusiruhusu ujinga wa kisiasa ukadhoofisha ubora

    Huwezi kuelewa Bila kusoma Kwa sababu ya mtu kuwa na elimu yake ya chini.... Mindset matters....
  7. Sammio_tz

    Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

    Hivi Huyu #Archbishop Kinacho kukera Ni Huduma unayo tolewa au unakerwa na lugha inayo tumiwa na Wafanyakazi wa UDART... Kwa sababu Kama Ni kilugha maranyingi wanaongea wakiwa peke yao ,Lakini mteja anahudumiwa Kwa lugha ya Kiswahil ......huo ulionao na upofu wa fikra.... Pale Hakuna ukabila
  8. Sammio_tz

    Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Ufalme wa mungu huwa kuna utajiri mkubwa na nashangaa vyombo vya serikali kuwa na haraka ya kudakia mambo Bila kujua dini, Theological preaching are not that much easier to be understood by any body coz they are always parable and therefore TRA should be careful on judging the they how...
Back
Top Bottom