Pole sana kaka yangu mengi wamesema wenzangu amini umeshapata kazi kwa jina la yesu zidi kumwomba mungu ,riziki yako ipo imeandaliwa na utaifulahia mungu akupe uvumilivu kwani ni mapito tu na yatashindwa kwa jina la yesu,(ubarikiwe)
Pole sana jipe moyo ,muombe mungu kwa imani atakupatia mwenza wako yaani wa ubavu wako kabisa sisi ni binadamu na ni majaribu mengi tunayokutana nayo hasa ktk mahusiano.unanikumbusha 1month now nilipata issue kama hiyo lkn kwa maombi na ushauri wa hapa jamvini nilijiona nipo na wenzangu kimawazo...
Ok niwaambie kitu dr ni dr awe wa kike au wa kiume wote wana maadili yale ambayo walifundishwa kuwafanyia wagonjwa hata mimi ni dr wa kike sijaona tofauti kati yetu napenda kuwaeleza wenzangu either mwanaume au mwanamke humu jamvini usichague dr kwani hujui yapi yatakukuta
Pole sana mpendwa usijali hayo ni mapito tu isitoshe mungu analo kusudi lake endelea kumwomba mungu naye atakuongoze mshukuru mungu kwa hilo wala usijali pole sana
Pole sana bro jaribu kuwasiliana naye kumweleza hisia zako kwake na umuulize anampango gani nawe then kama haeleweki chapa laba utulie umwombe mungu atakupa mwingine
Nishapoa mpendwa, ukweli sasa sitauliza hbr za laptop kwani nikizidi itaendelea kuniumiza majib anayonipa sasa ananiambia yeye ni handsome anatongozwa na wanawake kweli ni neno la kumwambia mwenzako? Ila nimefarijika thanx all
Jamani mnipe ushauli,mimi nina mpenzi wangu nimekaa naye almost 2year mara nilimheshimu kama mume wangu mtarajiwa tangu hapo tulipoanza lakini siku zote uchumba ulishamiri na hatimaye aliniambia tuwaambie wazazi mi nikawaeleza home lkn bse yeye yupo chuo 2nd year tulikubaliane amalize shule...
Pole mdada cha msingi fanya utafiti kwa kina kuhusu huyo wa chuo hata kama ulikuwa naye kwani siku hizi na balaa na kama mume wako mapenzi yamepungua hata ufanyie jema lolote atakuona kama hufai kwake kwani asilimia kubwa wanaume hawafai hata kidogo pole mwaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.