Recent content by samlai

  1. samlai

    JamiiForums Tanzania Natafuta ndungu wa upande wa Baba Meck Msigwa

    Shukran brother
  2. samlai

    JamiiForums Tanzania Natafuta ndungu wa upande wa Baba Meck Msigwa

    Asante kaka kwa majibu yako. Mungu akubariki.
  3. samlai

    JamiiForums Tanzania Natafuta ndungu wa upande wa Baba Meck Msigwa

    AMANI ya Bwana iwe nanyi. Kama kichwa cha Habari hapo juu.natafuta ndugu wa Baba angu ambaye Alifariki kwa Ajali ya Gari miaka ya 1987. Alikuwa Akiitwa Meck Msigwa.alikuwa akifanya Biashara ya Mchele na Maharage kutoka Mbeya kwenda Dar. Mara ya mwisho alipata Ajali akiwa anasafirisha Maharage...
  4. samlai

    JamiiForums Tanzania Panya road: Ni vibaka wanaoshirikiana na Polisi?

    Wamerudishwa kuja kuhamisha mjadala wa Tozo.hii huwa nmbinu yakijinga sana.
  5. samlai

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana michongo ya 'kuzamia' nchi za ng'ambo

    Mkuu mwakani naja huko.tuombeane uzima
  6. samlai

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao

    Dah! Mh.Ngungulile ukowapi watu wako wanateseka nawewe ndio mtetezi wao .so sad.
  7. samlai

    JamiiForums Tanzania Brands maarufu za zamani Tanzania 90z kurudi nyuma

    Mafuta ya vimkebe
  8. samlai

    JamiiForums Tanzania Brands maarufu za zamani Tanzania 90z kurudi nyuma

    Savco.jins....tokyo.... Banzoka bigijii...viatu vya Batman ....nyimbo za kina Brenda fasi...mkomboti....
  9. samlai

    JamiiForums Tanzania Vijana njooni Ughaibuni mtafute mitaji bongo ngumu

    Tusihamishe hoja ....jamaa kaleta hoja yenye mashiko tuitumie tuache kuhoji vitu ambavyo havitatusaidi.
  10. samlai

    JamiiForums Tanzania Vijana njooni Ughaibuni mtafute mitaji bongo ngumu

    Mkuu naomba ni Pm namba yako ya whtssp
  11. samlai

    JamiiForums Tanzania Vijana njooni Ughaibuni mtafute mitaji bongo ngumu

    Ifike kipindi wa Tanzania tuwe kama wezetu wa Naingeria tubebane tupeane michongo...mwisho wasiku tuje tulisaidie Taifa letu...
  12. samlai

    JamiiForums Tanzania Vijana njooni Ughaibuni mtafute mitaji bongo ngumu

    Safisana mkuu nashukuru kwakutia Moyo...Mimi Niko kwenye mipango yakusepea Ujerumani ...naomba uni Pm tupeane michongo nanjia ....plz.
  13. samlai

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gemstone

    Nasubiria wajuzi nijifunze...
Back
Top Bottom