Mzee mwanakijiji.hapo nakukosa kidoogo wazanzibati na watanganyika sio watanzania.la pili wazanzibari washazoea kupakwa matope na serekali ya tanganyika.nakupa mfano: kulitokea uhalifu wa makanisa znz.waziri wa ulinzi alikuja moja kwa moja znz na akatangaza kwamba kuna ugaidi znz mbele ya...
Hata muungano ukivunjika kwani kiuna hasara gani zaidi ya faida.huoni wazanzibari wanalia kila siku kwa hio muungano sasa kuna faida gani huo?si bota tu uvunjike ndio bora zaidi.tanganyika watakuwa free na wazanzibar watakuwa free pia.kila nchi itakuwa na mamlaka yake kamili.wananvhi wa...
Sasa hvi ndio kuna machafuko bwana kinana.au machafuko ya huyaoni ya wazanzibari na tanganyika.usionge vitu ambavyo kama vile haunavo akilini.suluhisho la kuendelea machafuko ni serekali tatu tu.hakuna zaidi ya hapo.kama walimwengu watashangaa basi waache washangae tu ila sisi wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.