For sale

For sale

fjsanya

Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Samsung galax s3,sony experial S,huawei,samsang window phone
 

Attachments

  • 1385965901154.jpg
    1385965901154.jpg
    117.7 KB · Views: 222
Simu yenyewe Huawei halafu unasema tutafutane,sijui ingekuwa zile za Steve Jobs ungesemaje
 
Huawei,sony experail,samsang window phone
 
Huawei,sony experail,samsang window phone

Hizi nyodo nyingine bana,
sasa uliishindwa kuweka mwanzo hz brand, hadi watu wakuuiize?

Fanya biashara kisomi bwana acha nyodo za kijinga!
 
Bro kwan umelazimishwa kununua bhana mbona unakuwa soro bhana kama ujui sm niww
 
Mchawi sio lazma apae na ungo bhana

watanzania wengi hawana elimu ya biashara lakini wewe umezidi maana unakosolewa bado unakuwa mbishi yaani mimi hata kama nahitaji hiyo simu siwezi kukutafuta maana unaonekana you are not serious
 
Nakubali kweli nmekosea bt kuna watu wengne wana lugha chafu sio kurekebisha mtu ila nkama kuponda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom