Recent content by Sambusa kavu

  1. S

    Wale wakongwe, haya magari mliyabatiza majina gani shule uliyosoma?

    Ifunda tech tuliliita 'kiyeuyeu'
  2. S

    Hawa ni wadudu gani?

    Kwani unakunya chumbani au sebuleni halafu hauflash au? wadudu wa chooni hao wa haja kubwa
  3. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WAWEKEZAJI WENZANGU KUELEKEA MSIMU MPYA NAOMBA MNIJUZE IPI NI KAMPUNI NZURI YA KUBET APA BONGO AMBAYO : 1. INAKUPA OPTIONS NYINGI KWENYE MECHI MOJA 2. SIMPLE KUTUMIA 3. INALIPA KWA HARAKA ENDAPO UKISHINDA MKEKA, KUTOA NA KUWEKA PESA PIA IWE NI FASTA 4. YENYE OPTION YA KU CASH OUT, NA LIVE...
  4. S

    Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

    Tafakuri - Kinyago cheusi ni watu wasiojulikana - kukata kwa msumeno ni mambo mabaya ya utekaji na manyanyaso yanayoendelea - Kukata katikati ya mguu wake maana yake ata mti ukidondoka uyo mtu yeye bado ana nafasi ya kujiokoa ila uyo mama apo lazima adondoke. - Mnyororo maana yake hao...
  5. S

    Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

    Wakipata iyo leseni ya kuonyesha izo mechi, wataanzisha vifurushi vya bei ya juu zaidi ili uweze kuona izo mechi
  6. S

    TikTok imekuwa chimbo jipya la kueneza uzinzi, ushoga ukahaba na uasherati ulipitiliza

    Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama vile Youtube n.k Ila sasa hivi imekua ya kishenzi sanaaaa...hauwezi kuingia tiktok bila kuvaa...
  7. S

    Kwa kilichonitokea madalali wa kibongo wana tamaa sana

    Mie nilibahatika tu nilikua kariakoo kwenye duka moja la muhindi,nikawa naongea na simu na mshikaji wangu ambae nilimwambia anitafutie gari Premio old model, kumbe wakati naongea yule muhindi alinisikia nayeye alikua na Premio anaiuza...nilipokata tu muhindi akaniambia kama nipo interested...
  8. S

    Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    Kwaiyo sasaaa, utamuita mama mdogo au shemeji?
  9. S

    Ungepewa milioni 12 uwekeze, ungefanya uwekezaji gani? Wafanyabishara waheshimiwe, ajira ni bora zaidi ya biashara

    Watu wa dizaini yako wanatafutwa sana na taasisi mbali mbali za fedha kwa ajili ya kupewa mikopo Unasubiri nini mkuu, nenda kakope bank kuza mtaji wako na endelea kupanua biashara yako
  10. S

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Na kama ulikua haujui leo nakujuza sasa...huyu dada ndo aliechangia kwa asilimia nyingi sana vijana kupiga punyeto Kipindi icho ukinunua revola lile kava lake watu wakikuona nalo, wanakuhisi vibaya kama vile kwasasa hivi wakikuona na KY :p:p
Back
Top Bottom