Recent content by Samboza

  1. S

    FFU mlinzi wa benki NMB ajipiga risasi

    Ni msongo wa maisha tu. kujiua si suluhisho la maana.
  2. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Tatizo kubwa la waislam ni kuwa hawana chumbo cha kuwa semea. Bakwata ni chombo cha kiafiri cha kuhakisha kuwa mipango ya kuwakandamiza waislam wa Tanzania inafanikiwa. Mbona serikali imekubali kuwepo kwa ubalozi wa kanisa?
  3. S

    Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    jamani mfumo wanaofanyia kazi mnaujua au mnaropoka tu. waoneeni huruma wao ni wazalendo kweli kweli
  4. S

    Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    Kama sio KGB Urusi ingekwisha na kutoweka duniani. tumeni vijana kwenda kujifunza jinsi usalama wa taifa unavyotakiwa kufanya kazi zake. msione vyaelea ni wananchi chini ya ubantu wao.
  5. S

    Bakwata yaishtukia serikali

    Nashanga wakristo wana dini mbalimbali kama RC, MENONIGHT, KKKT, ANGLICAN nk na wote waliwakilishwa kwani waislamu ni BAKWATA TU. Hongera wajumbe wa BAKWATA kwa kuchoka kuwasaliti wenzenu, Tanzania si ya wakristo, Tanzania haina dini.
Back
Top Bottom