Msikariri maisha, unajua tatizo wanafunzi mkiwa vyuoni mnajidanganya sana, mara Chuo X ni bora kuliko chuo Y. Malizeni vyuo mje mtaani ndo mtaelewa, huku mtaani waajiri wanaangalia una nini kichwani? Unajua nini?
Mtaitwa kwenye usaili wote sio chuo wala GPA itayokuokoa... kitachokupitisha usaili...
Kwenye ajira huku bongo huwezi ona tofauti yake, lakini ni fani zenye malengo tofauti lakini zinaingiliana na kutegemeana.
1.Computer Science- inahusu kubuni na utengenezaji wa mifumo ya kompyuta( mobile apps, programs, applicatins & Softwares)
2. Information Technology- inalenga kufanya mifumo...
IT/ Computer science ni fani zenye ajira na zina uwanja mpana( kujiajiri & kuajiriwa) , ni fani inayohitaji passion na kujituma zaidi nje ya videsa vya Darasani.
Mwambie kijana asome vizuri kwa vitendo mtaani ajira zimejaa ni swala la uwezo wake sasa.
IT/CS inahitaji uwe mtaalam wa eneo fulani...
Nimeitwa interview alhamisi tarehe 12 june 2014 tanzania postal bank, post ya credit officer group lending. Jamani wanalipa kiasi gani kwa hii post?? Salary na allowance?
Thanks
Hello jf, kwa anaewafahamu ngo tajwa hapo juu utendaji wake wa kazi naomba anifahamishe,na pia kama kuna mtu alishawahi kufanya internship hapo anifahamishe kama wanalipa posho kidogo hata za nauli? Natanguliza shukrani.
Utavuta shuka kumekucha kama dada yangu mmoja. tatizo lenu wasichana wengi wa siku hizi mkiwa na umri kati ya 18-25 mnachagua saana mnataka ma HB. sasa mkishadoda around 26 years na kuendelea mnadondonkea kokote. poleni sana. jifunze kumpenda anaekupenda na baada ya muda utajikuta unampenda sana.
Hawa equity bank jana walitutumia meseji tulofaulu written interview wakasema leo tutagiwa simu kwa maelezo zaidi kuhusiana na oral interview siku itayofanyika. Jamani kama kuna mtu alokwisha pigiwa atujulishe.natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.