Recent content by sambasha

  1. sambasha

    JamiiForums Tanzania Ole Millya "Nimehamia CCM kwa maslahi ya wananchi"

    Hata ningekuwa mmi ningetoka tuu lazima mtu ajiongeze kutumia fursa iliyopo huko cdm ssa ni uvumilivu tuu wengi wanatamani kuhama ila ndo hivyo shy flani
  2. sambasha

    JamiiForums Tanzania SHAHIDI: Chusa alipanga mauaji ya Bilionea Msuya

    Hatari sana
  3. sambasha

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo alazimisha kujengewa nyumba na wafanyabiashara

    Hiz fitina tuu kila siku mnarekebisha acheni majungu fanyeni kaz.
  4. sambasha

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo atumia jina la Rais Magufuli kuwachangisha wafanyabiashara

    Majungu tuu hayo mh Gambo piga kazii
  5. sambasha

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

    Tatizo lako umeenda seheem iliyo busy wateja wengi sehem kama hizo popote pale huduma huwa ivyo hata stendi kipindi cha december unaingia had ndani hakuna mtu anakuuliza unaenda wapi
  6. sambasha

    JamiiForums Tanzania Je, mjamzito anaruhusiwa kufunga mkanda wa gari wakati wa safari?

    Unamuambia ipo kwa mwenzake unadaiwa fine
  7. sambasha

    JamiiForums Tanzania Lodge au hotel gani ni nzuri na ina usalama Lindi mjini?

    Interested
  8. sambasha

    JamiiForums Tanzania Tuliopo Moshi Kilimarathon 2018 tuonane Hugo's Garden tushangweke

    Njoo mekuz imeshona mtu kibao namuona gadner g na ben kinyaiya kwa mbaaali
  9. sambasha

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kutapeliwa!

    Siku zote ukiweza kuepuka tamaa kamwe huwez tapeliwa bongo
  10. sambasha

    JamiiForums Tanzania Tambua siri ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari

    Oo
  11. sambasha

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Papii Kocha umenitoa machozi

    Sure nyimbo nzuri
  12. sambasha

    JamiiForums Tanzania Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

    sawaa ssa mmi nna mpango wa ujenz kuanzia 2020 safari city arusha na nnataka nyumba ya 3 bedroom itakuwajee?
  13. sambasha

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna sheria inayolazimisha gari kusimama ktk vivuko vya pundamilia kama hakuna anayesubiri kuvuka

    Mimi nmeshuhudia gari limesima na hazard juu lakini wa nyuma yake akaja na akamgonga ,arusha juz ndani ya zoezi
Back
Top Bottom