Recent content by Samawia

  1. Samawia

    JamiiForums Tanzania Walau Huyu Shehe Ponda akiitisha Maandamano anakuwa mstari wa mbele tofauti na wale wa UKUTA au Mwabukusi!

    Ngozi nyeusi sisi tuna matatizo ya namna kufikiri.
  2. Samawia

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kawaida saba lakini yatasababisha ufe mapema

    Namba 5 ,Wamasai watakuwa wanakufa sana
  3. Samawia

    JamiiForums Tanzania Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

    Weusi tuna waabudu weupe.
  4. Samawia

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna chama ambacho kinaweza kuitoa CCM madarakani?

    Ungekuwa unajua Mungu yupo usingesema haya,Mungu akiamua kila kitu kinawezekana.
  5. Samawia

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Dkt. Tulia wajengewe sanamu

    Wajengee tu ,kama huna pesa omba msaada kwa walamba miguu wenzako.
  6. Samawia

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakuumba dhahabu uchagani?

    Ilikuwa mwaka gani?
  7. Samawia

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakuumba dhahabu uchagani?

    Kuhusu makalio ya dada zao je unaona sawa!! Kwanini hujiulizi swali la msingi kama hili?
  8. Samawia

    JamiiForums Tanzania Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

    Kama ni MwanaJF na akajua umekuja kumsema mtandaoni itakuwaje?
  9. Samawia

    JamiiForums Tanzania Namshauri Dkt. Tulia amsamehe kiongozi mkubwa aliyetaka ashindwe Urais wa IPU

    Nipe elimu kidogo ,Mtanzania kama mimi nanufaikaje na ushindi wake?
  10. Samawia

    JamiiForums Tanzania Namshauri Dkt. Tulia amsamehe kiongozi mkubwa aliyetaka ashindwe Urais wa IPU

    Huna na namba ya huyo dada yako?si ungempigia simu tu umwambie.
  11. Samawia

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    Kwa vyovyote vile,kabla ya kuteuliwa walishakaa na mahasimu wake wakayamaliza.
  12. Samawia

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Hivi kiwango cha mwisho cha kumiliki pesa kwa wale ambao hawajajiunganisha upande wa pili ni kiasi gani?
  13. Samawia

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Naunga mkono hoja,Makonda na Sabaya ni vijana wenye maamuzi magumu kuliko Mwenyekiti wao pamoja na katibu wake,Makonda awe mwenyekiti achukue nafasi ya Samia na Sabaya awe Katibu achukue nafasi ya Kinana ,halafu mwisho Mwenezi wao awe Msukuma au Kibajaji,hapo vipi?
  14. Samawia

    JamiiForums Tanzania Makonda hatambui na hajui majukumu aliyopewa na wakubwa wake mpaka akapangiwe na mamlaka nyingine ni dharau Kwa mamlaka ya uteuzi

    Hakuwa raia wa kawaida,ila alihifadhiwa miaka mitatu na miezi kadhaa,angekuwa raia wa kawaida angekuwa tayari keshajifunza kitu.
Back
Top Bottom