Recent content by samakinchanga

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli zipo dawa mitishamba herbal za kusafisha mishipa ya damu

    Wakuu na wataalam je zipo kweli na zinafanya kazi ? Maana nahitaji ya cholestrol na Pressure
  2. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Mazda Atenza inauzwa

    Gari imetulia
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

    Gamondi yupo sana Yanga tayari kuwakaanga makolokwinyo. Kadi za njano na majeruhi isiwe sababu. Subirini yawakute na nyie
  4. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Utumiaji wa Panadol kusafisha pasi husababisha kuzalisha kemikali ambayo ni hatari kwa binadamu

    Kila mwenye lake huweka hapa.yaani
  5. S

    JamiiForums Tanzania FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

    Hawa jamaa wa Singida wanacheza rafu sana na wamekamia hii mechi Hovyo sana
  6. S

    JamiiForums Tanzania FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

    Huyu Prince Dube anatakiwa atulie akiwa kwenye ndani ya box
  7. S

    JamiiForums Tanzania FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Hii timu washambuliaji changamoto ,wajaribu mashuti nje ya 18
  8. S

    JamiiForums Tanzania EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, yamepanda bei tena

    Duh hatari sana hizi bei
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

    Kabisa kama yupo afaaye sawa kazi kazi tu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Hili bango liwekwe pale mto Msimbazi wanapotembea kwa miguu wakati wa mafuriko liwafarijj
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Na bado mpaka wathemee.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    Kuna vijamaa vinapita na pisi vimeshikana mikono au kukumbatiana vinajidai sana hebu ongeza kwa hiyo orodha
Back
Top Bottom