Recent content by samaki wa mbao

  1. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Nyati weupe waonekana Tarangire huku mabaki ya Dinosaur yakigunduliwa Lindi

    Kiki zakijinga tu, huyo nyati mbona hakuna picha nyingine? Video hamna? Yaani toka utoto hakuonekana, kaja kuonekana uzeeni? Zinduka mzee
  2. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    Yupo hai, anaishi Mwanza! Kafungua Bar yake, Swala la mwangosi linamtafuna Sana Hadi Leo, pia Lissu!! Hapo Bar ukisia habari za Mwangosi na Lissu huwa anakuwa mnyonge na kuondoka kbs
  3. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    Pumzika kwa Amani Daudi mwangosi
  4. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Uzi una mengi yakujifunza
  5. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Sawa mkuu!! Salama lakini?
  6. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Mlongo wa koti? Mlongo wa Ifakara?
  7. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Kujua Tatizo tayari Ni hatua kubwa, Watakuja wataalamu kutoa msaada
  8. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Ni nini hiki?.

    Huwa wanatoa kwenye makundi mbalimbali uliyojiunga, Mpira, Dini, ajira n.k huko ndo wanakopata namba za watu
  9. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Ni nini hiki?.

    Hao wahuni wazee wa biashara za kitapeli za forever living, Global alliance n.k Watakusumbua Sana, ikibidi futa tu namba zao
  10. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa, ajira zipo za kutosha Tanzania kwa wanaojua Kiingereza kwa ufasaha

    Umeandika kishabiki zaidi, Kuna tofauti kubwa ya lugha na uelewa, Kwa kuwa kazi nyingi zinatafutwa kwa lugha na si uelewa hapo tatizo!! Lugha Ni swala la mawasiliano tu, mpime mtu kwenye utendaji na vitendo!! Wachina hawajui kiswahili Wala kingereza lkn wamejaa Africa na wanafanya kazi sababu...
  11. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Mateso na unyanyasaji wa wafanyakazi kiwanda cha Fujian Mkuranga (Kisemvule)

    Ndo wanaotuumiza Sana, watu wanatakiwa kusaidia Ila wao wanaamua kuwa upande wa watesi yaani wachina
  12. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Mateso na unyanyasaji wa wafanyakazi kiwanda cha Fujian Mkuranga (Kisemvule)

    Ni kweli kabisa!! Mateso makubwa lkn ugumu wa maisha unafanya watu wakomae humo humo
  13. samaki wa mbao

    JamiiForums Tanzania Mateso na unyanyasaji wa wafanyakazi kiwanda cha Fujian Mkuranga (Kisemvule)

    Walio jaribu wengine wameishia kufungwa, kuwekwa ndani kwa makosa ya kutungwa
Back
Top Bottom