Oya we jomba Yosef Festo me nipo mwanza now na naeza kukupa pakulala ili uje utembee ujionee mwanza karibu,hatutaki Tena kelele za kitoto zisizo na msingi
Shida yako unang'ang'aniza unachojua wewe kuhusu tz lakini hujui kitu,hao wapinzani hawajawahi kuwa positive kwenye chochote kile ,raisi wakati anapambana kurekebisha mikataba ya madini wao walikua msari wa mbele kumpinga kwa hoja za eti tutanyimwa misaada (unyimwe misaada na chako.?) story...
. Na wahindi nao wanatumia lolh.!! Watu wapo na technology za hyperloop sie tunashindana kwa SGR 😂😂😂 Africa nani ameturoga ,ila Kenyans mko na Safar ndefu sana diesel SGR Tena it's 120km/h 😂😂 et AE economic hurb dunia ikujua mtachekwa sana 😂😂😂
. Bora ya Egypt inaejitahid kuendana na dunia, EA unafki na kujisifia kwingi 😂😂 Kenyans wa kutumia vizuri adjective mpo.? (The biggest.. in Africa 😂😂 the most beautiful what not in Africa 😂😂 the longest I don't in Africa 😂 😂😂 ) jirani mnafurahisha sana .ukija ground Ni vumbi tu The best 007...
Huo
Uliopewa ndio ukweli mzee.upinzani wa bongo now upo negative sana kiufupi haulitakii mema taifa letu kwahyo hautawahi kuona wakisifu hata mzee afanye mema yepi. Kwakifupi upinzan kwa tz ni upuuzi tu kama kutembea uchi na aina zingine za upuuzi unazozijua
Sasa
Sasa komora096 inakuaje hatuwafikii kwenye kuchapa dimba lakini clubs za bongo ndio zinaiwakulisha East Africa kwenye mashindano makubwa Tena zinafika mbali.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.