Kenya kuna official stores za makampuni mengi ya kielektroniki. Walichagua kama "The African hub for electronics" ndio maana bei zake ziko chini kushinda bongo.
Si kwa ubaya lakini Baba yangu aliwahi kuniambia nisioe watu wa pwani Sababu ya malezi yao ni ya Kiswahili mno. Na hii inajionesha kwa viongozi wanaotoka huo ukanda
Mkuu kuna shop ya Samsung nilinunua hii S24 ultra yangu hapa Nairobi wako chini kuliko Avechi. Kama kuna MTU atahitaji anicheki nimsaidie kununua na kutuma kwa ujira ndogo.
"Hello"..
"My name is Yarastev from Russia"
"You look good"
"I like to see you in the evening"
Jioni mwanamke anachukua hadi gari ya bwanake anampelekea uchi Dimitri Yuratsev
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.