Mahitaji na manunuzi ya vifaa vya kielektroniki kutoka Nairobi

Naomba kufahamu bei ya LG Nano86 LED TV 55” pamoja na PS5 kwa Nairobi.
LG nanocell 86 LED 4k 55" ina range from 100,000kshs( 2,100,000Tshs) to 105,000kshs( 2,205,000Tshs)


PS5 825GB Sony : 95,000kshs ( 1,995,000Tshs) to 98,000kshs( 2,058,000Tshs)
 
Nimeona mahali kwa wapenzi wa Iphone
b536f832f40a46fa9f6e5f18aa0a5bf2_1658221836480.jpg
 
Ni swali zuri mkuu,
kKkubwa ni mm niwe mwaminifu kwenu ili biashara iwe endelevu kwasababu nikimuibia mtu humu nitaharibu biashara. Mathalani nidhulumu milioni moja ya mtu haitanifikisha mahali na nitakuwa nimeharibu uaminifu hivyo kupelekea biashara kufa.

Jambo lingine ni imani ni kama unavyoagiza mzigo/kifaa kutoka kampuni binafsi za nje ya nchi kama AliExpress, Alibaba, Ebay. Mimi nimependelea kutumia muda wangu wa ziada kuingiza kipato kidogo na kwa wakati huohuo nakusaidia kupata kifaa/vifaa unavyohitaji kutoka huku Kenya maana nimeona watu wengi wakiwa wanaulizia sana. Chief-Mkwawa amekua akipendekeza sana vifaa vya kielektroniki watu wanunue huku Kenya kutokana na unafuu wa bei kulinganisha na huko Tanzania.

Kama nitakuwa nimekosea naomba kurekebishwa na pia kama kuna njia inayoweza kutengenezwa ya uaminifu inakubalika yakitolewa mapendekezo ni sawa; mfano kutuma pesa kwa njia ya PayPal
Ndo tunavyoaminishwag
 
TCL tv 43inch P735 4k (2022) model ipo na offer retailing @ 36,000kshs sawa na 650,000Tshs
Screenshot_20230613-153458_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom