Recent content by Sam Jr official

  1. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Natafuta screen ya Lenovo Thinkpad neo3 Desktop

    Ahsante sana mkuu
  2. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Natafuta screen ya Lenovo Thinkpad neo3 Desktop

    Screen yangu hiyo imepasuka na Niko Dodoma,mwenye connection wapi naweza,tafadhali nisaidie
  3. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    TODAY TIP'S💯 1. The New Saints _ X2 2. Riga FC_ 1X 3. Slavia Prague _1X 4. Bayern Munich _ X2 5. Dinamo Zagreb _1X 6. Celtic_ X2 7. Rangers _ 1X 8. Fenerbahce _ 1X 9. Benfica _ 1X 10. Ajax _ 1X 11. Braga _ 1X 12. Hacken _1X 13. Lyon _ Over 0.5 14. Chelsea _ Over 0.5 15. Tottenham _ Over 0.5...
  4. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

    5.Nakugomea hapa,Kibu Denis ni mchezaji wa hovyo sana,ukijumlisha na Mutale na Balua,watu wanakimbia hovyo tu,pa kutoa pasi anakimbia akapoteze,pa kukimbia anatoa pasi,mediocre players kama Kibu,Balua ndo wanatucost. Mchezaji mzuri ana takwimu nzuri za assist na magoal,sasa mtu msimu mzima ana...
  5. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

    5.Nakugomea hapa,Kibu Denis ni mchezaji wa hovyo sana,ukijumlisha na Mutale na Balua,watu wanakimbia hovyo tu,pa kutoa pasi anakimbia akapoteze,pa kukimbia anatoa pasi,mediocre players kama Kibu,Balua ndo wanatucost. Mchezaji mzuri ana takwimu nzuri za assist na magoal,sasa mtu msimu mzima ana...
  6. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada mwenye uzoefu wa kufunga IP camera

    Link inatakiwa iwe hivi NVR to switch one Ethernet cable,then to Switch to router one Ethernet cable,sio Switch to router then router to NVR
  7. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada mwenye uzoefu wa kufunga IP camera

    Je IP iliyoko direct kwenye port ni hiyo 192.168.254.xxx? Nenda kwenye network settings nikuelekeze
  8. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Punguza dhiki mkuu,mmesomeshwa mtafute za kwenu,yeye acha atafute dogo dogo wa kula naye bia
  9. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

    Bila aibu Waziri mkuu anatutangazia umeme unazalishwa Hadi umezidi,shame, huo umeme unazalishwa kwa wingi kwenye mikutano ya hadhara.
  10. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje binadamu mwenzio anakuwinda maisha namna hii?

    Mkuu Mimi ni mtaalamu wa Telecommunication Engineering,hapo hujahackiwa kilichofanyika ni call forwarding,yani umesajili umeshamaliza ukimpa simu yako anafanya hiyo forwarding,call zinapita kwako na kwake
  11. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Hayati Maalim Seif alikataa kujiunga na CHADEMA na Kuamua kwenda ACT wazalendo kutokana na ubaguzi na chuki waliyonayo kwa Wazanzibari

    Hakuna ubaguzi wowote watu wanaongea kweli wengine mnajificha kwenye unafki unafki
  12. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    We mjinga shambulia kwa hoja sio mitusi tu na kushambuliwa utu wa mtu.
  13. Sam Jr official

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    Acha kufikiria kwa kutumia hisia mkuu,shirikisha akili yako,kwenu tu Kuna masikini Kibao hata Milo mitatu hawawezi kumudu. Unakuja na hoja dhaifu ya kumpa Zawadi mtoto wa Aliyekuwa Tanzania one,waulize Wana miradi mingapi,majumba,mahotel na mahela kiasi gani bank mpaka unakuja kumuonea...
Back
Top Bottom