Naombeni msaada mwenye uzoefu wa kufunga IP camera

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,560
Nimefunga ip camera 17 .Zipo kwenye NVR ya channel 32 ambayo ina direct port 16 poe make ni plug and play.

Changamoto inakuja kwa zile ambazo zipo kwenye external switch zikenigomea zinaonekana kwa kualtenate kwenye channel moja bas ila kudisplay kila camera kwenye channel yake imegoma kabisa.

Vifaa na muundo nilotumia.

Izo ambazo ni kwenye external poe switch zimeungwa direct kwenye switch imetoka link kwenda kwenye router afu router to nvr cable zote zimeterminatiwa straight through
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom